Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,539
- 11,419
Wazazi ndio washike bango, sio kuuachia uongozi wa shule.Mamlaka husika chunguzeni shule ya msingi NKUHUNGU iliyoko Dodoma Jiji NKUHUNGU.
Huu uchafu unafanyika hapo na uongozi wa shule unajua na kuamua kukaa kimya kuepuka mlolongo wa ufuatiliaji/kesi.
Baadhi ya watoto wazazi wao wanakiri watoto kuharibiwa ila uchafu huo unafukiwa na baadhi ya wahusika wanafahamika (walimu shuleni hapo wanaelewa mchezo wote)