Kufuatia sakata la wanafunzi kulawitiwa; Mamlaka zifuatilie Shule ya Msingi Nkuhungu jijini Dodoma

Kufuatia sakata la wanafunzi kulawitiwa; Mamlaka zifuatilie Shule ya Msingi Nkuhungu jijini Dodoma

Mamlaka husika chunguzeni shule ya msingi NKUHUNGU iliyoko Dodoma Jiji NKUHUNGU.

Huu uchafu unafanyika hapo na uongozi wa shule unajua na kuamua kukaa kimya kuepuka mlolongo wa ufuatiliaji/kesi.

Baadhi ya watoto wazazi wao wanakiri watoto kuharibiwa ila uchafu huo unafukiwa na baadhi ya wahusika wanafahamika (walimu shuleni hapo wanaelewa mchezo wote)
Wazazi ndio washike bango, sio kuuachia uongozi wa shule.
 
New world order inazidi kupata nguvu.

Very pathetic..!
 
Huko shuleni watoto wanafanyiana sana, last week nimepokea kesi ya wanafunzi wa madarasa ya juu kumfanyia unyama mwanafunzi wa chekechea.....inauma.
Wazazi tuwe makini sana.
Duh hili pepo baya na huko kweny dini nako walimu wamegeuka washenzi pia hatuna pa kukimbilia
 
kuna dada mmoja mtoto wake wa kiume yuko form3..
boarding huko..juzi karudishwa nyumbani.
huyu mtoto kiukweli ni majirani zangu na huyu mtoto anakua namuona.
shida yake alikuwa anaongozana na mamaake kila sehem.
hadi kwenye kitchen party mama anaenda na huyu mtoto.baba wa mtoto nae liko kama ndondocha huwa linampelekea mke maji bafuni.

huyu mtoto amerudishwa baada ya kubambwa akipigwa kolabo na wenzio kitandani buko bwenini!!

wenzake wamepewa onyo kali baada ya kutoa ushahidi kuwa huyu dogo huwa anawashawishi wamuingilie hata kwa gharama yoyote.
dogo alikaa kama wiki 2 nyumbani then akarudi tena shule.
 
Bongo mwendo kufumuana marinda tu....sahvi

Maadili imeporomoka kwenye jamii, na hii miziki,sanaa zenu sahv ndiyo inachochea, mpk kufika 2030 marinda mengi yatakuwa yamefumuliwa!

Ova
Tz sasa hivi Kila mtu anastress, hakuna ambaye Yuko sawa.
 
Back
Top Bottom