Kufuatia tukio la binti aliyebakwa na kuingiliwa kinyume cha maumbile wadau mbalimbali wamelaani na kuitaka serikali itoe tamko

Kufuatia tukio la binti aliyebakwa na kuingiliwa kinyume cha maumbile wadau mbalimbali wamelaani na kuitaka serikali itoe tamko

Hivi nyinyi mna akili timamu kweli? Polisi wameongea, Waziri wa ulinzi kaongea, waziri mambo ya ndani kaongea, unataka serikali itoe tamko? serikali gani? tamko gani mnataka? Alafu kama kweli mnadai hao vijana ni wanajashi si mliache jeshi lifuate taratibu zake kwanza? jeshi lifanye uchunguzi wake, liitishe mahakama zake za kijeshi, litoe hukumu. Kama hao vijana watakutwa na hatia watakabidhiwa kwa polisi. Mnapiga kelele zisizo na maana mpaka mnaonekana wapumbavu. Kila mtu kachukizwa na hili jambo tatizo lenu mnataka kujipatia umaarufu kwa kwa kupitia matatizo ya watu wengine kwa kivuli cha uanaharakati
 
Mnampeleka sana huyu binti mjini au mnataka apewe ukuu wa wilaya?
 
Wakuu
Kufuatia tukio la binti alibakwa na kuingiliwa kinyume cha maumbile wadau mbalimbali wamelaani na kuitaka serikali itoe tamko na kuwakamata wote waliohusika
Kufikia jana imetoka taharifa kwamba vijana waliohusika kutenda unyama huo wameshikiriwa
Lakin kama ambavyo tuliwaona waliohusika na kifo cha mtoto asimwe iweje hawa watu hatujawaona?
Hii inaleta mashaka sana kwamba pengine hawajakamatwa kwa sababu pengine wanao mkono au guard kubwa nyuma yao kwa sababu
1.wanaonekana kwny ile video wakijiamini kabsa ndo maana hawakua na wasiwasi wa kuonyesha sura zao
2.hawakusita kutaja identity ya aliyeko nyuma yao (afande)
3.Yule binti si mkazi wa yombo dovya kama alivosema inaonesha dhahiri yale ni maneno waliyompa kuyataja ndo maana wakawa wanamuuliza kwa vituo ili kupangilia script yao maana hawawez kuruhus ataje location ambayo wanajua kabsa polisi wataitumia kuwatia nguvuni

NAHISI KUNA HARUFU YA KULINDANA NA KUFICHIANA MAKUCHA KWENYE HILI SWALA
Kwa kweli matukio kama haya yasipolaaniwa tutaendelea kuwa nayo kwa muda mrefu. Baadhi ya viongozi wa dini waliolaani kuona picha za ngono kwenye mtandao wa X, akiwemo Mwamposa aliyesema ameanza kufunga na kufikia Agosti mwaka huu mtandao wa X utakuwa umejifunga, mbona wako kimya na mtandao Bado upo? Maombi yake hayakufanya kazi? Serikali na viongozi wawe mstari wa mbele kulaani matukio ya kinyama kama haya yanapojitokeza. 'Vox populi vox Dei' (sauti ya wengi ni sauti ya Mungu) Ina maana pia kwamba ya wengi Ina nguvu ya kuleta mabadiliko chanya (yanayotarajiwa) katika jamii. Binafsi nimefarijika sana kuona baadhi ya Watanzania na makundi ya kijamii yanavyojitokeza kulaani matukio mabaya, na nasikitika kwa viongozi wa dini kuwa mstari wa nyuma. Walitakiwa wapaze sauti zao.
 
Serikali inatoaje tamko kwa kitu ambacho hatijathibitika?

Vipi kama hao waliojirekodi wote ni wahuni tu labda wameamua kutengeza script ionekane kama demu anabakwa kwa mtungo ili video yao iwape umaarufu???

Tungoje vyombo vifanye uchunguzi halafu mengine yatafuata, tusikurupuke kihisia

Kwani si kuna kipindi iliwahi kuvuja video moja mdada anaingiliwa na wanaume watatu mpaka anamtaja mmoja kwa jina la mudi??? Bila zile sauti za wale wadada nyuma ya camera si ingeonekana amebakwa(gang bang)

Watu sikuhizi hawaogopi kufanya chochote sababu ya umaarufu
 
Back
Top Bottom