Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Vipi leo unakuja ๐๐๐๐ฌ๐ฌChino Wana man ..papi Wana man bwoy Wana man.... posh Wana man....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi leo unakuja ๐๐๐๐ฌ๐ฌChino Wana man ..papi Wana man bwoy Wana man.... posh Wana man....
Vipi leo unakuja ๐๐๐๐ฌ๐ฌ
Nimetuma ya kutolea akini ๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบSiendiiii ๐
Mkuu usisahau kuskiliza wimbo wa sir jay ft chino kid ule wa mmhhhNipo kwa gari ...
Naingia k,koo chap kubeba material
Hilo tuu limekwishaaaa...Mkuu usisahau kuskiliza wimbo wa sir jay ft chino kid ule wa mmhhh
Hilo tuu limekwishaaaa...
Mi na nyimbo tupo hivii
Sitaki uteseke ....japo nauli zako nakulaWeeeeh umenipandishia kabisa
Unafaaa masikhara...Sitaki uteseke ....japo nauli zako nakula
Kwa kweli matukio kama haya yasipolaaniwa tutaendelea kuwa nayo kwa muda mrefu. Baadhi ya viongozi wa dini waliolaani kuona picha za ngono kwenye mtandao wa X, akiwemo Mwamposa aliyesema ameanza kufunga na kufikia Agosti mwaka huu mtandao wa X utakuwa umejifunga, mbona wako kimya na mtandao Bado upo? Maombi yake hayakufanya kazi? Serikali na viongozi wawe mstari wa mbele kulaani matukio ya kinyama kama haya yanapojitokeza. 'Vox populi vox Dei' (sauti ya wengi ni sauti ya Mungu) Ina maana pia kwamba ya wengi Ina nguvu ya kuleta mabadiliko chanya (yanayotarajiwa) katika jamii. Binafsi nimefarijika sana kuona baadhi ya Watanzania na makundi ya kijamii yanavyojitokeza kulaani matukio mabaya, na nasikitika kwa viongozi wa dini kuwa mstari wa nyuma. Walitakiwa wapaze sauti zao.Wakuu
Kufuatia tukio la binti alibakwa na kuingiliwa kinyume cha maumbile wadau mbalimbali wamelaani na kuitaka serikali itoe tamko na kuwakamata wote waliohusika
Kufikia jana imetoka taharifa kwamba vijana waliohusika kutenda unyama huo wameshikiriwa
Lakin kama ambavyo tuliwaona waliohusika na kifo cha mtoto asimwe iweje hawa watu hatujawaona?
Hii inaleta mashaka sana kwamba pengine hawajakamatwa kwa sababu pengine wanao mkono au guard kubwa nyuma yao kwa sababu
1.wanaonekana kwny ile video wakijiamini kabsa ndo maana hawakua na wasiwasi wa kuonyesha sura zao
2.hawakusita kutaja identity ya aliyeko nyuma yao (afande)
3.Yule binti si mkazi wa yombo dovya kama alivosema inaonesha dhahiri yale ni maneno waliyompa kuyataja ndo maana wakawa wanamuuliza kwa vituo ili kupangilia script yao maana hawawez kuruhus ataje location ambayo wanajua kabsa polisi wataitumia kuwatia nguvuni
NAHISI KUNA HARUFU YA KULINDANA NA KUFICHIANA MAKUCHA KWENYE HILI SWALA
NitumieKaliomba maji kakanyimwa[emoji23][emoji23][emoji3064]