Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
C-spire kampuni ya mawasiliano ya Marekani imejitoa kuadvertise michezo ya Olympic inayofanywa huko Ufaransa.
Sababu wameitaja kwenye akaunti yao ya X kuwa ni kebehi iliyoonyeshwa na mashoga kuhusu "last supper" wakati wa ufunguzi wa michezo hiyo jijini Paris.
Kufuatia tukio hilo kwa aibu kamati ya michezo ya Olympic ya Paris imeifuta video hiyo ya mashoga kwenye YouTube baada ya kupata ukosoaji mkubwa sehemu mbalimbali duniani.