Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
- #21
Hatimaye mashoga yaomba msamaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna nchi yoyote ya Kiarabu au ya Kiafrika iliyojitoa kutokana na igizo hilo la mashoga!? Kama hawajajitoa, wanaunga mkono ushoga? Majibu unayo mwenyewe!
Hao mabepari wote wangekuwa wanampenda sana Yesu wangeuza mali zao na kugawa utajiri wao kwa masikini kama alivyoagiza Yesu, na kufuata mafundisho ya Yesu.
Hizi ni siasa tu.
Wakristo duniani kote wamechukizwa na opening ceremony huku kabisa catholic wakitoa tamko..
Angalia mwandaaji huyu Thomas jolly akiwa behind scenes ni picha za aibu View attachment 3054791View attachment 3054790
Andika gani kwenye uislam linasema kutifuana mtaro ni Sunna ? acha chuki dhidi ya uislamLini usilamu umekataza ushoga,ungejua hakunandini waumini wake wanafumuana mitaro kama waisalm ungeshangaa..hiyo wanaita ni sunna ya mtume.
Leslie Barbara Butch, ambaye mara nyingi hujulikana kama Barbara Butch, ni mwanaharakati wa wa Kifaransa na mwanaharakati wa usagaji. Anafanya kampeni za kukubalika kwa mafuta na ametengeneza filamu fupi ya Extra Large.
Alitunukiwa tuzo ya Out d'or 2021 "personalité LGBTI de l'année" ("Mtu bora wa mwaka wa LGBTI") na Chama cha Ufaransa cha Wanahabari wa LGBTI. Mnamo 2024, yeye DJ 'd katika Sherehe za Ufunguzi wa Olimpiki ya Majira ya joto ya 2024.
Maisha ya mapema yaliongozwa
Leslie Barbara Butch alizaliwa katika kliniki ya Marie-Louise huko
arrondissement ya 9 ya Paris, ambapo mama yake, bibi na babu-bibi walizaliwa kabla yake.
Butch mnamo 202
Mama yake, katibu alikuwa Myahudi wa Ashkenazi, na baba yake, mchoraji wa nyumba,
Bi bingwa la kuwasaga wanawake wenzake huu ndiyo ndiyo ustarabu tunaambiwa tuufate.
View: https://x.com/mylordbebo/status/1817460481768017933?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Duh!Nani alikwambia michezo inayochezwa kwenye Olympics ni ushoga?
Kinachozungumziwa ni opening ceremony
Alimaanisha nini?Unaelewa Yesu alichomaanisha alipomwambia yule kijana tajiri auze mali zake awape masikini?
Kwahiyo kutokana na dini yako mnafurahia kumchinja shingo Shoga.Hahaha naona unajifariji Urabuni ukibainika shoga wanakata kichwa unakumbuka kombe la dunia Qatar. ongelea kwa mabwana zenu huko Ulaya wanasema wanajua ustarabu wameweka picha ya Yesu pembeni kuna mashoga mmoja pumbu zipo nje hazina kazi yeyoye lile dada bonge kumbe bingwa la kusaga wanawake wenzake.
Kwahiyo kutokana na dini yako unafurahia kumkata kichwa Shogaanaweza kuwa shoga. lkn katika nchi inayoongozwa kiislam anatakiwa akatwe kichwa. katika sheria za kikiristo za kiulaya anapongezwa
Kiuhalisia siyo kwamba Ulaya kuna mashoga wengi sana, ila nguvu kubwa sana inatumika kuhalalisha.Ulaya imejaa mashoga na ushoga.
Nilitegemea waarabu wanakimbilia huko labda wabadilishe upepo watu wawe waislamu lakini ndio ushoga unazidi kushika kasi.
Sio muda Uarabuni kutajaa mashoga wa kutosha.
soma ulichoandika na ukieleweSio lazima uende mbali humu JF kuna mashoga wanaunga mkono tukio hilo
Wanasema sisi ambao tunakosoa tunajipendekeza na tunaingilia uhuru wa mashoga
Nchi za arabuni,za kiislamu,ujulikane ni shoga umekwisha,Kule hawataki upumbavu,wasikie hivyo hivyo waarabu.Ndio ukaona katika ibada za Hija,hakuna shoga unayemuona kule,shoga hakanyagi,na kama ataingia kwa bahati mbaya,ajifiche sana,asijitambulishe wazi wazi.Hili ni tatizo kubwa, ukishakua mfuasi wa mtume akili hua inapotea kabisa. Kuna tofauti ya kutangaza na kuwa shoga. Yemen wanatishia watu wasitangaze ni mashoga ila haina maana kwamba mashoga hawapo.
Kwani hapa Tanzania umewahi kusikia mtu anatangaza kwamba yeye ni kahaba ama ama malaya, wapo ama hawapo?
Pole sana kwa kufumuliwa malinda,naona umeamua kuweka ushuhuda wako hapo,vipi bado unaendelea kutoa tope au ulisha acha?Lini usilamu umekataza ushoga,ungejua hakunandini waumini wake wanafumuana mitaro kama waisalm ungeshangaa..hiyo wanaita ni sunna ya mtume.
Hili ni tatizo kubwa, ukishakua mfuasi wa mtume akili hua inapotea kabisa. Kuna tofauti ya kutangaza na kuwa shoga. Yemen wanatishia watu wasitangaze ni mashoga ila haina maana kwamba mashoga hawapo.
Kwani hapa Tanzania umewahi kusikia mtu anatangaza kwamba yeye ni kahaba ama ama malaya, wapo ama hawapo?
Kwahiyo kutokana na dini yako mnafurahia kumchinja shingo Shoga.
Unawakanaje Al-Shababu ?
Upo tanzania ipi mkuu,mashoga mbona wapo kila mahali hadharani kabisa wanafanya umalaya wao bila kusumbuliwaHili ni tatizo kubwa, ukishakua mfuasi wa mtume akili hua inapotea kabisa. Kuna tofauti ya kutangaza na kuwa shoga. Yemen wanatishia watu wasitangaze ni mashoga ila haina maana kwamba mashoga hawapo.
Kwani hapa Tanzania umewahi kusikia mtu anatangaza kwamba yeye ni kahaba ama ama malaya, wapo ama hawapo?
Tena Bashite alipowapiga mkwala mashoga,wazungu nao wakampiga mkwala,na wenzake wakamkataa,wakasema huo ni msimamo wake na sio sheria!Upo tanzania ipi mkuu,mashoga mbona wapo kila mahali hadharani kabisa wanafanya umalaya wao bila kusumbuliwa
Huko uarabuni mbona mm ndio naona issue za ushoga ni nyingi kuliko hata Ulaya