Kufuga bata ni bora kuliko kuku na kanga


Soko la Sungura likoje mkuu?
 
Nielekeze soko chief
 
Nielekeze soko chief
Nilianza kufuga Bata nikikatishwa tamaa kuhusu soko lakini sasa napambana na wateja wanawapata japo siyo kwa kiasi kikubwa.
Ukianza biashara yoyote ni lazima upambane kusaka soko la bidhaa zako mwenyewe.
Pichani chini ni sehemu ya Bata wangu wakila Azolla.
 

Attachments

  • VID_20221228_211544_210.mp4
    3.3 MB
Bata wa kawaida ndo wanasoko kubwa
 
Ukitaka kufuga bata kwa starehe fanya haya
1. Jenga banda linaloruhusu kinyesi kutiritlrika kwenye mtaro
2. Bwawa la tope
Bwawa la maji safi
4. Open space yenye nyasi/majani mafupi
Hivi vyote viwe kwenye uzio mmoja na bwawa la maji safi liwe la mwisho kabla ya kuingia bandani na bwawa la matope liwe la kwanza kutokea bandani
 
Bata Ufuge Kwa Biashara Hasa Hawa
Bukini , Indian Runner, Pekin Malard
Hawa Watu Wanawafuga Sana!


Changamoto Ukifuga Holela Watu Wanawaiba Haraka, Ila Hawa Bata Wa Kawaida
Nao Wanazaliana Mno
Na bei zake si za kitoto.. Mlalahoi hamudu hata siku moja
 
"bwawa la maji safi liwe la mwisho kabla ya kuingia bandani na bwawa la matope liwe la kwanza kutokea bandani"

Hapa sijapapata vizuri. Kabla ya kuingia bandani, na kutokea bandani [emoji848]
 
Boss nipe connection mm nafuga bata aina mbali
Ikiwemo wa Kienyeji , Bukini, mallard, khaki Campbell na Indian runner
Call 0759444402
Nipo CHANIKA KWA SINGA
 

Attachments

  • E7C6D439-45CA-4D97-9F90-CE06FFC2B5EB.jpeg
    1.3 MB · Views: 69
  • 5942EC1A-0651-4318-BB38-06D470D75121.jpeg
    881.3 KB · Views: 77
  • 2955DFC5-4F87-45C4-9250-546F0A83A1FC.jpeg
    724 KB · Views: 67
  • A17FDD09-991E-4A22-A877-6C596B266791.jpeg
    1.2 MB · Views: 69
Sio kweli. Bata anaelishwa unga/pumba ya mpunga haharishi.

Pia bata anaelishwa makapi ya ngano haharishi.

Simply like that, husk and bran diet, from wheat or rice. Nimefanya sana hii na ni very cheap. Unachanganya na mashudu ya alizeti/chikichi.

In short, Vyakula vinavyosababisha constipation kwa binadamu vinazuia bata kuharisha.
 
"bwawa la maji safi liwe la mwisho kabla ya kuingia bandani na bwawa la matope liwe la kwanza kutokea bandani"

Hapa sijapapata vizuri. Kabla ya kuingia bandani, na kutokea bandani [emoji848]
Banda liwe na milango miwili wakuingilia na wa kutokea... Wanapotoka asubuhi ni moja kwa moja kwenye bwala la mtope wacheze huko wachafuke tani yao, wakirudi jioni wanapitia bwawa la maji safi waoge kisha bandani
 
Banda liwe na milango miwili wakuingilia na wa kutokea... Wanapotoka asubuhi ni moja kwa moja kwenye bwala la mtope wacheze huko wachafuke tani yao, wakirudi jioni wanapitia bwawa la maji safi waoge kisha bandani
Sawa mtaalamu, hapa nimekupata vuzuri sana.
 
Piga kelele kwa Bata bukini wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…