Tefere
Member
- Sep 5, 2020
- 54
- 57
Aisee
Acheni kuwavunja watu moyo,bata wana soko tena kubwa na la uhakika, wewe kama haujui soko lilipo Omba uelekezwe, mimi nafuga nauza mayai kila siku yai moja 700 na bata huwa nauza kuanzia 10 na bata dume nauza 35/40 elfu jike 25/30 napata ofa nyingi kila siku, now nimeanza kufuga na sungura