Kufukua maiti zilizooza inahitaji Posho Nene!

Kufukua maiti zilizooza inahitaji Posho Nene!

Mkiwa wana mkapiga kaya/mneli/sigara kubwa/ndumu/kijiti/king'ang'a/bange ni dakika tuu watu wanafukuliwa.
Kazi za watu hizi.. 😊
 
Mkiwa wana mkapiga kaya/mneli/sigara kubwa/ndumu/kijiti/king'ang'a/bange ni dakika tuu watu wanafukuliwa.
Kazi za watu hizi.. 😊
Hata ukipiga pombekali dakika 30 nyingi piga zako 150mls za pombe Kali au 180mls .

Pombe pia zikipigwa kwa wingi zinalipua bongo

NB. KILICHO FANYIKA NI CRIMES AGAINST HUMANITY
 
Makaburi huwa hayafukuliwi kiholela unaweza kukutana na mizuka ikakudhuru. Watu wa mila hufanya mambo ya kimila kupoza mizuka iselete madhara watakapofukua wafu
 
Back
Top Bottom