SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Nyie acheni mchezo kufukua maiti zilizooza na kuzikwa kaburi la Halaiki si kazi rahisi labda posho iwe Nene sana
Hata wanaofukua maiti, hawajawahi fanya kazi hiyo maishani.Nyie acheni mchezo kufukua maiti zilizooza na kuzikwa kaburi la Halaiki si kazi rahisi labda posho iwe Nene sana
Binadamu hugeuka mnyama piga bangi sana..piga pombe sanaaaaaa..piga sana ugolo.. chukua diazepam weka kwenye konyagiiii kunywa..Hata wanaofukua maiti, hawajawahi fanya kazi hiyo maishani.
Ni psychological torture
Akili zenu maccm ni posho tuNyie acheni mchezo kufukua maiti zilizooza na kuzikwa kaburi la Halaiki si kazi rahisi labda posho iwe Nene sana
😄😄😄😄🙌🙌Hiyo dili wamepewa wafungwa
Hiyo dili wamepewa wafungwa