Siku Ukijua Kinachokutokea Usiku, Akili Yako Itaruka!

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
3,016
Reaction score
4,404
Acha Kiherehere cha Kutaka Kuona Yasiyoonekana
Utazika Furaha Yako Milele!

Watu wengi mpo hai na mna amani kwasababu tu Mungu amewaziba macho msione uchafu na uozo unaowazunguka.
Mnaishi kwenye uongo wa kutengenezwa na ndio maana mnakula, mnalala na kucheka. Lakini kuna wajinga fulani wana kiherehere cha kutaka kufukua siri za giza na ukweli wa maisha.

Ukilazimisha kuondoa hilo pazia kwa kiherehere chako, unakutana na uhalisia unaochoma kama moto,

uhalisia utakaokufanya ujute kwanini ulizaliwa.
Je, una huo moyo wa kiume wa kubeba hayo mauaji ya nafsi yako,

1. Uchafu Unaoingia Tumboni Mwako na Kulishwa Viungo vya Maiti (Ukweli Mchungu)
Unakaa mezani unakula chakula chako kwa raha zote, au unakwenda kwenye kabati la jikoni unachukua kiporo cha wali, ugali au mchuzi wa jana usiku unakula kwa hamu kubwa. Hivi unafikiri unakula peke yako? Unataka upewe macho uone jinsi wachawi na viumbe vya ajabu vinavyoingia jikoni kwako mara tu taa zinapozimwa?

Wachawi wanakuja juu ya masufuria yako, wanatema mate ya ushirikina, wanavujisha kamasi zao, na wanakojolea vyakula vilivyobaki, Kibaya zaidi ukiwa umelala fofofo usiku mnono bila kujua chochote, wanapenyeza viungo vya maiti koo mwako, unalishwa nyama zilizooza za makaburini, unalishwa unga wa meno ya maiti yaliyosagwa, nywele za marehemu zilizonyolewa makaburini, na damu za kafara zilizoganda.

Wanachukua pia nyama uliyoiacha kwenye sufuria wanaitafuna na kuitema ikiwa imepoteza uzima wake, kisha wanakuachia huo uozo uje ule asubuhi. Ukishuhudia kwa macho yako jinsi unavyolishwa miili ya watu waliofukiwa chini ya ardhi na jinsi chakula chako kinavyotiwa unajisi kabla hujakumbatia kijiko mdomoni, utawahi tena kula chakula chochote.

Utashinda unatapika nyongo mpaka utumbo unajikunja na unakufa kwa njaa ukiwa unajiona!

2. Mambo ya Hovyo Unayofanyiwa Usiku Ukilala Mzito (Hadi Ngono ya Gizani)
Unajilaza kitandani unajidai umechoka na kazi za mchana, unapitiwa na usingizi mnono ukiamini uko salama. Hivi una uhakika gani kuwa mwili wako unabaki kuwa wako usiku unapofika? Unataka kufunguliwa macho uone jinsi unavyovuliwa nguo zako bila kujua, unavyogeuza chombo cha michezo michafu na viumbe vya giza,

Usiku ukifika, unavamiwa na kubakwa au kuingiliwa kimwili na viumbe visivyoonekana (jini mahaba na misukule). Unakuta mtu anaota yuko kwenye ngono au anazuka asubuhi akiwa ameloa na kuchoka viungo vyote, kumbe usiku kucha ametumiwa kumaliza hamu za wachawi na viumbe vya giza.

Wanakubeba masafa ya mbali kama msukule wa muda, wanakutumia kufanya kazi ngumu za ushirikina, wanakunyonya damu, wanakunyooa nywele na kucha ili kwenda kuzifanyia ndago, na kukukaba koo mpaka unashindwa kupumua. Asubuhi ikifika wanakurejesha kitandani kwako ukiwa umechoka na huna nguvu, halafu unazuka unajifanya "nimeamka salama." Ukijua unayofanyiwa na jinsi mwili wako unavyodhalilishwa gizani, hutaingia tena kwenye huo mpango wa kulala.

3. Viumbe na Misukule Unayoishi Nayo Chumbani Kwako
Unajifungia ndani, unavua nguo zote, unajiona uko peke yako chumbani kwako kisa tu umepiga kufuli mlango..
Unataka kupewa uwezo wa kuona ukweli uone jinsi chumba chako kilivyojaa misukule, mizimu na viumbe vilivyokaa pembezoni mwa kitanda chako?

Chumba chako si chumba chako peke yako; ni ghorofa na kambi ya viumbe visivyoonekana.
Vimesimama pembeni ya kitanda chako vikikutazama unavyofanya mambo yako ya siri, vinapumua hewa inayokuingia pua mwako, vinaketi juu ya meza yako, vinashika nguo zako, na hata kulala pembeni yako juu ya shuka hilo hilo unalojifunika.

Vingine vimekaa juu ya paa vikikusubiri upitiwe na usingizi vianze michezo yao.
Ukipata hayo macho ya kuona jinsi ulivyozungukwa na mifupa na roho chafu chumbani kwako, utatoka nduki ukiwa uchi wa mnyama, utavunja mlango na kuruka ukuta kwa hofu!

Kila siku asubuhi unaamka, unapiga miayo na kujisheua ukisema "Namshukuru Mungu nimeamka salama!" huku ukitabasamu. Salama ipi hiyo uliyonayo wakati usiku kucha umefanywa uwanja wa michezo michafu, umelishwa meno, nywele na viungo vya maiti zilizooza, na umelala na misukule kwenye shuka moja, Acha kiherehere cha kutaka kufukua siri za dunia hii.
Baki na huo ujinga wako uendelee kujiambia uko salama, maana siku ukijua ukweli wa kinachokutokea gizani, akili yako itaruka na hutoona tena sababu ya kuendelea kuwa Hai.
 
we umeyajuaje hayo yote?, na kama ushayashuhudia mbona bado unadunda sisi ni nani tushindwe?,

kwanza usitutishe tumefunikwa na dam ya yesu
 
Uongo mtupu. Kwahiyo wachawi wana nguvu kuliko huyo Mungu? Badala ashughulike na wachawi wasifanye hayo wanayofanya yeye anatuziba macho. Atakua mungu wa manzese huyo😀😀😀😀
 
Sasa uyo mungu si azuie wachawi wasifanye hayo. Kwanini atufumbe macho, hawawezi hao wachawi? Kama kashindwa kutulinda dhidi ya wachawi au anawaonea huruma hao wachawi basi anipe mimi hizo nguvu zake anazotajwa kuwa nazo. Natokomeza wachawi wote ndani ya dakika mbili tu.
 
Mungu hazuii uovu kwa sababu anampa kila binadamu uhuru wa kuchagua (Free Will). Hakukufumba macho kwa ubaya, amekuwekea hilo pazia kama huruma ili usife kwa presha ukishuhudia uozo unaofanyika gizani. Kama unajiona mjanja sana ukajiunge nao ukajue kwanini anawaacha!
 
Unauliza kwanini Mungu asizuie wachawi? Hivi Mungu anazuia mwizi asikuvunjie nyumba ukimwachia mlango wazi
 
Mwizi namwona kwa macho ya nyama. Nikimkamata namshughulikia. Sasa hiyo misukule iliyohifadhiwa na wachawi chumbani kwangu siioni. Mungu anipe huo uwezo wa kuona misukule chumbani kwangu na hao wachawi wanatemea mate masufulia, nitatandika viboko wote. Nyumba yangu hawataisogelea tena.
 
Mungu hazuii uovu kwa sababu anampa kila binadamu uhuru wa kuchagua (Free Will). Hakukufumba macho kwa ubaya, amekuwekea hilo pazia kama huruma ili usife kwa presha ukishuhudia uozo unaofanyika gizani. Kama unajiona mjanja sana ukajiunge nao ukajue kwanini anawaacha!
Hizo ni hisia zako mkuu. Ni wapi kasema katuwekea hilo pazia?
 
Hii ni kweli na mimi ni mhanga wa hi kitu.Kuna siku nilikuwa nimelala nilisikia mlango umesukumwa nilisikia mtu anakuja had nilipolala sikuhangaika nilijua ni mwenzangu Amerindian neti ilifunguliwa akainama kuufikia mkono hapa pia nilijua sababu nilikuwa nimelala pembeni ya kitanda baada ya kugusa mkono nikaamka kuangalia hamna mtu niliogopa mno nilijiuliza huyu mtu ni nani na alikuja kwa nia gani ila hadi leo sijaweza kujua.

Siku nyingine nimelala (Sijui iliwezekanaje nilikuwa nimelala ila hata kufungua macho nilimuona huyu mtu)Ni mtu wa makamo mwembamba amevaa shati na barakshia na mkono mmoja aliniwekea shingoni.Niliposhtuka naye akapotea.Jamani usiku kuna mambo mengi salini kabla ya kulala
 
Damu ya Yesu Kristo inatosha sana jifunike kwa Damu ya Yesu pamoja na nyumba yako yote na mali zako kila wakati utakuwa salama.
 
Hii ni kweli na mimi ni mhanga wa hi kitu.Kuna siku nilikuwa nimelala nilisikia mlango umesukumwa nilisikia mtu anakuja had nilipolala sikuhangaika nilijua ni mwenzangu Amerindian neti ilifunguliwa akainama kuufikia mkono hapa pia nilijua sababu nilikuwa nimelala pembeni ya kitanda baada ya kugusa mkono nikaamka kuangalia hamna mtu niliogopa mno nilijiuliza huyu mtu ni nani na alikuja kwa nia gani ila hadi leo sijaweza kujua.

Siku nyingine nimelala (Sijui iliwezekanaje nilikuwa nimelala ila hata kufungua macho nilimuona huyu mtu)Ni mtu wa makamo mwembamba amevaa shati na barakshia na mkono mmoja aliniwekea shingoni.Niliposhtuka naye akapotea.Jamani usiku kuna mambo mengi salini kabla ya kulala
Watu hawaelewi
 
Basi hao wachawi na majini kama wanafanya hivyo kweli watakuwa hawana akili.

Hii ni sawasawa na vile mtu amekuudhi then unamtukana kimya kimya bila yeye kujua kama unamtukana. Sasa hapo si unakuwa umejitukana mwenyewe?
 
Back
Top Bottom