😂😂😂😂😀😀Mtaani kwangu Kuna jamaa alienda kwa mganga apewe dawa ya kuona wachawi/misukule....
Baada ya kupewa ile dawa kilichomkuta kidogo awe chizi, alisema aliona vitu na watu wa ajabu, wengine anawajua na wengine hawajui.ilipofika asubuhi alirudi kwa mganga wake akamwambia aitowe ile dawa.....
Hebu fanya hisani ya kutujuza mkuu.Rahisi sana
Nakazia Hoja. Atupashe tufanyeje tuwaone au kuwdhibiti wao walau wasituoneKwa hiyo ili tusifanyiwe hayo yote tufanyeje? Au tuwaache tu waendelee kutuhondomola? 😆😆😆
Huyu ametokea chini ya bahari kuja juu.. sio katoka nchi kavu ( duniani kwenda baharini katika bahari, kama walivyo baharia wa kawaida) mimi pia nimetizama hilo jina hapo awali nikajiuliza kwanini basi ajiite jina hili?? After all??Unajua watu tunaowaita mabaharia wengi akili ziko faster na wako poa sana , ni watu wa kupiga hustlers na kupeana matumaini ya good life,wewe mbona kama mchawi , kutishana na kukata tamaa ya maisha , badilisha jina