C Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 14,424 Reaction score 30,799 Nov 22, 2025 #21 Mkiwa wana mkapiga kaya/mneli/sigara kubwa/ndumu/kijiti/king'ang'a/bange ni dakika tuu watu wanafukuliwa. Kazi za watu hizi.. π
Mkiwa wana mkapiga kaya/mneli/sigara kubwa/ndumu/kijiti/king'ang'a/bange ni dakika tuu watu wanafukuliwa. Kazi za watu hizi.. π
TUJITEGEMEE Platinum Member Joined Nov 6, 2010 Posts 27,646 Reaction score 28,747 Nov 22, 2025 #22 Lloyd Munroe said: Ulipewa Sare Click to expand... Si Wana nunua wenyewe?
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 20,877 Reaction score 43,633 Nov 22, 2025 #23 Chivundu said: Mkiwa wana mkapiga kaya/mneli/sigara kubwa/ndumu/kijiti/king'ang'a/bange ni dakika tuu watu wanafukuliwa. Kazi za watu hizi.. π Click to expand... Hata ukipiga pombekali dakika 30 nyingi piga zako 150mls za pombe Kali au 180mls . Pombe pia zikipigwa kwa wingi zinalipua bongo NB. KILICHO FANYIKA NI CRIMES AGAINST HUMANITY
Chivundu said: Mkiwa wana mkapiga kaya/mneli/sigara kubwa/ndumu/kijiti/king'ang'a/bange ni dakika tuu watu wanafukuliwa. Kazi za watu hizi.. π Click to expand... Hata ukipiga pombekali dakika 30 nyingi piga zako 150mls za pombe Kali au 180mls . Pombe pia zikipigwa kwa wingi zinalipua bongo NB. KILICHO FANYIKA NI CRIMES AGAINST HUMANITY
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 Nov 22, 2025 #24 Makaburi huwa hayafukuliwi kiholela unaweza kukutana na mizuka ikakudhuru. Watu wa mila hufanya mambo ya kimila kupoza mizuka iselete madhara watakapofukua wafu
Makaburi huwa hayafukuliwi kiholela unaweza kukutana na mizuka ikakudhuru. Watu wa mila hufanya mambo ya kimila kupoza mizuka iselete madhara watakapofukua wafu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Nov 22, 2025 #25 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw