Kufukuzia hadi kusafiria penzi

Kufukuzia hadi kusafiria penzi

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,189
Reaction score
9,299
Eti vp kwa upande wako ulishawahi kufukuzia mtu ambaye unamtaka kimapenzi na anaishi mbali na wewe hadi ukaamua kumfungia safari hukohuko?

hebu niambie ulienda umbali gani kufukuzia mpenzi

Mimi niliwahi kusafiri Mombasa hadi kibosho halafu nikakuta mtoto mwenyewe yupo kwenye siku zake hivyo nikarudi bure
 
Duuh jambo la kawaida sana, umenikumbusha safari yangu toka Dar hadi kampala, na ilikuwa safari yangu ya kwanza kwenda UG, na hakuna zaidi ya nilicho kifata ni mbunye, na ilikuwa ndio mara yangu ya kwanza kuonana na mtoto ana kwa ana,

Sema demu hakuwa mzushi
 
Mwanza to Nelspruit 2002

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
mwenyewe nilitoka Mbeya to dar kumfuata wangu ndo tuonane kwa Mara ya kwanza...tena kwa gharama yangu....lakini nilishia kulala lodge pekeyangu....yeye hakutokea ikanibidi nigeuze hiyo kesho yake.....nilivyorudi home ikabidi nimuulize why....mbona vile.Akanijibu niliogopa utaniambia twende kwangu wakati mi naishi kwa shangaz yangu.Kipindi chote tunachat alikuwa ananitumia picha za jenge lake kumbe nae analelewa
 
Back
Top Bottom