lup
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 2,514
- 2,741
Pole sana ..njoo mwanza ila kwa gharama zangu..mwenyewe nilitoka Mbeya to dar kumfuata wangu ndo tuonane kwa Mara ya kwanza...tena kwa gharama yangu....lakini nilishia kulala lodge pekeyangu....yeye hakutokea ikanibidi nigeuze hiyo kesho yake.....nilivyorudi home ikabidi nimuulize why....mbona vile.Akanijibu niliogopa utaniambia twende kwangu wakati mi naishi kwa shangaz yangu.Kipindi chote tunachat alikuwa ananitumia picha za jenge lake kumbe nae analelewa
mwanza kwetu