Kufukuzia hadi kusafiria penzi

Kufukuzia hadi kusafiria penzi

Kwanilivyo pitia comments......[emoji2] [emoji2]
Nimejikuta nasita kusema sababu nitaishia kuchekwa tu....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ha ha ha mi nishacheka tayar
 
Kwanilivyo pitia comments......[emoji2] [emoji2]
Nimejikuta nasita kusema sababu nitaishia kuchekwa tu....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tushirikishe kiongozi!
 
Ukiacha limbwata.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Naskia nilisha wahi kunyweshwa hadi chai iliyo chujwa kwa pichu....[emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
na bado ukaambulia patupu
 
Mkuu nilitoka Karatu hadi LUSHOTO nikamkuta mtoto mkali sana bahati mbaya alikuja na mabest zake wawil tukaenda kula hotel flan buffet, kilichonifanya nimchukie yan waliamua kubrba sahan tatu tatu yan walibebanisha sahan tupu chin ya zenye chakula then tulivyofika mezan wakawa wanaziweka kwenye mikoba yao zile tupu ,,kitendo hicho kilinifanya nimdharau sana yule bint kesho yake nikaondoka sikurudi tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
na mzigo hukupewa
 
Duh, kazi ipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom