Kufukuzia hadi kusafiria penzi

Kufukuzia hadi kusafiria penzi

ukipenda unafuata kaka,mi nikipromise na MTU si mbabaishaji.Nashukuru lakini kuniacha kwako kufanikiwa kwangu.Siye wote ni wa Mungu....nimefanikiwa kaka
kweli kabisa bidada mapenz yanaweza kukufanya ufanye mambo ya ajab
 
Nishasafiri km 2000+km nnje ya nchi kufata mreemboo...

Kawaida saana afu nikakutana na show mbovu ila sijakoma mpaka now nasafiri tu

Sent from "La -Vista"

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mkuu nilitoka Karatu hadi LUSHOTO nikamkuta mtoto mkali sana bahati mbaya alikuja na mabest zake wawil tukaenda kula hotel flan buffet, kilichonifanya nimchukie yan waliamua kubrba sahan tatu tatu yan walibebanisha sahan tupu chin ya zenye chakula then tulivyofika mezan wakawa wanaziweka kwenye mikoba yao zile tupu ,,kitendo hicho kilinifanya nimdharau sana yule bint kesho yake nikaondoka sikurudi tena.

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]manzi waswaz hao! Wanaiba hadi sahani
 
Back
Top Bottom