Kufukuzia hadi kusafiria penzi

Kufukuzia hadi kusafiria penzi

Mie nlimfuata dar nkakuta ajuza, sina hamu nae,
 
  • Thanks
Reactions: SDG
mwenyewe nilitoka Mbeya to dar kumfuata wangu ndo tuonane kwa Mara ya kwanza...tena kwa gharama yangu....lakini nilishia kulala lodge pekeyangu....yeye hakutokea ikanibidi nigeuze hiyo kesho yake.....nilivyorudi home ikabidi nimuulize why....mbona vile.Akanijibu niliogopa utaniambia twende kwangu wakati mi naishi kwa shangaz yangu.Kipindi chote tunachat alikuwa ananitumia picha za jenge lake kumbe nae analelewa
Pole sasa hivi je!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay kuna vituko vingine ukiviweka humu wanaokufahamu wakikusoma ni lazima watakujua tu, nimekuelewa.

Kama nikukisema itabidi kukiasema kwa kutumia id nyingine maana hii ntajulikana
 
Miye tanga to moshi!but nkaambulia kutia mimba!tena niko secondary school...!
 
Nishasafiri km 2000+km nnje ya nchi kufata mreemboo...

Kawaida saana afu nikakutana na show mbovu ila sijakoma mpaka now nasafiri tu

Sent from "La -Vista"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom