"Kufukuzwa" kwa Meya Boniface Jacob: Utumishi wa umma umeingiliwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ni vema tukamfahamu mtu huyu ili achambuliwe kwa lengo la kujiridhisha kama kwa Elimu yake na afya yake ya akili inafaa kwa sisi kuendelea kumchambua .

Vinginevyo tumwache na ikibidi tuendeleee kumuombea ili Mwenyezi Mungu amjaalie wepesi wa kutambua kwamba Cheo ni dhamana ya muda mfupi sana .

Shetani hana rafiki .
 
Mazee ya kukurupuka yameingia choo cha kike. Maakini hayaogopi hata covid-19 ndio maana yanakufa kwa roho zao.mbaya. hata kuogopa tu kipindi hiki cha janga kuu hakuna. Duhhh kuna mijitu ina shingo ngumu.
 
Jadili kwanza elimu ya kiongozi wako wa chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Mkuu mimi mshangao wangu mkubwa zaidi ni kuwa siku yenyewe ilikuwa Saturday ambayo kwa kawaida ni half day.
Aliona shida gani kusubiri kusubiri kuhoji upande wa pili mpaka at least on Monday?

Baadhi ya viongozi wanaendeshwa na emotions sana.

Ajitafakari kama bado anao uhalali wa kuwepo kwenye hiyo kazi/office ajiuzulu kulinda heshima ya serikali tu
 
Kabisa mkuu
 
Nilishangaa sana huyo mama kupelekwa Ubungo, wakati huko Mtwara tu alipashindwa. Sasa atawezaje sehemu ya mjini?

Jimbo la Mtwara lilienda upinzani, leo unamleta Ubungo aje afanye nini kama huko kwa wamakonde kashindwa! Hawa chinga wa mjini anaanzia wapi.

Ashakumbwa na mchecheto wa kupoteza nafasi, sasa naona anataka aonekane.

Mama tulia, tunamalizia faili lako, utayapata matokeo.

Sent using iphone pro max
 
Ndio ameshapigwa kalama wacha akalinde bills
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…