"Kufukuzwa" kwa Meya Boniface Jacob: Utumishi wa umma umeingiliwa

"Kufukuzwa" kwa Meya Boniface Jacob: Utumishi wa umma umeingiliwa

Huyu mkurugenzi amekosa sifa ya kuwa mkurugenzi, kitendo cha kufanyia kazi barua bila kujiridhisha Ni aibu kubwa.
Ni kilaza Mkubwa anawaza chadema mda wote kuliko kumuwaza mme wake,ndie aliyetoa amri bendera za cdm zishushwe barabara ya Mlimani City

Ni kabila gani kwani
 
Kukichukia chama au mtu ni sawa na haki yako kabisa,lakini jaribu kutoonesha ujinga na ulimbukeni wakati wa kuonesha chuki zako!Chuki basi iendane na hoja na sio kujidhalilisha kwa kiwango hiki,shame!
Hujaeleweka
 
Barua muwasilishe nyie wenyewe lawama apatiwe Mkurugenzi. Hivi kweli akili zenu zinafanya kazi sawasawa. Semeni ukweli kwamba Jacob mmemvua uanachama na baada ya kuombwa rushwa mmetengua mlichokiandika.
Masjala ya Mkurugenzi inapokea barua zote za kutoka nje/ Incoming later na za kutoka nje na za ndani ya ofisi na zikipokelewa masijala faili hupelekwa kwa Mtaalam wa kulishughulikia. Mkurugenzi akiishughulikia baadae mnaanza kutokwa na Mapovu. Hivi mnadhani hatukawaelewa. Jacob alifukuzwa kwa maelekezo ya Mbowe na baadae kwasababu hawakupublicise wamegundua wamekosea na hiyo ni mbinu nyingine.
Nyie Machadema acheni Maisha ya Kiki
Huoni hata aibu kuandika huu utumbo?
Yule ni meya siyo balozi wa nyumba kumi.
Membe hakuwa na cheo chochote ndani ya CCM, lakini angalia ni kakao cha ngazi gani kilimfuta uanachama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vema tukamfahamu mtu huyu ili achambuliwe kwa lengo la kujiridhisha kama kwa Elimu yake na afya yake ya akili inafaa kwa sisi kuendelea kumchambua .

vinginevyo tumwache na ikibidi tuendeleee kumuombea ili Mwenyezi Mungu amjaalie wepesi wa kutambua kwamba Cheo ni dhamana ya muda mfupi sana .

Shetani hana rafiki .
Kumbe Jacob ni mtumishi wa umma sijui unawaza kwa kutumia nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Malisa anajielewa kweli??

Yaani mtu ushitakiwe kwa kupokea barua?? Au ulazimishwe kumleta aliyekuandikia?? Hii ni aina gani ya kufikiri??
Uwezo wako wakufikiri ni mdogo Sana!! Yeye ndiye anajua aliyempelekea barua ni Nani, hivyo yeye ndiye mtuhumiwa wakwanza atakayesaidia polisi kwa jinai na kutaka kupoka madaraka ya kiongozi aliyepo madarakani kisheria. Acha kuwaza KITOPIAN
 
Ni vema tukamfahamu mtu huyu ili achambuliwe kwa lengo la kujiridhisha kama kwa Elimu yake na afya yake ya akili inafaa kwa sisi kuendelea kumchambua .

vinginevyo tumwache na ikibidi tuendeleee kumuombea ili Mwenyezi Mungu amjaalie wepesi wa kutambua kwamba Cheo ni dhamana ya muda mfupi sana .

Shetani hana rafiki .
Naomba siku moja unipe nafasi nikushauri jambo moja muhimu. Ieleweke kwamba ushauri ninaokupatia hauna faida kwangu kwani hadi sasa napigania kupata uraia wa nchi mojawapo Africa. Nimeona ulivyo na mapenzi makubwa ya mabadiliko ya demokrasia nchini Tanzania. Mie ni mfuasi wa Lowassa toka moyoni na alipokuwa CCM nilikiwa na Lowassa,alipojiunga CHADEMA nilikuwa na Lowassa na aliporudi CCM niko nae
FB_IMG_1588406759793.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba siku moja unipe nafasi nikushauri jambo moja muhimu. Ieleweke kwamba ushauri ninaokupatia hauna faida kwangu kwani hadi sasa napigania kupata uraia wa nchi mojawapo Africa. Nimeona ulivyo na mapenzi makubwa ya mabadiliko ya demokrasia nchini Tanzania. Mie ni mfuasi wa Lowassa toka moyoni na alipokuwa CCM nilikiwa na Lowassa,alipojiunga CHADEMA nilikuwa na Lowassa na aliporudi CCM niko nae View attachment 1438377

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku Lowassa akifa utakufa naye ?
 
Uwezo wako wakufikiri ni mdogo Sana!! Yeye ndiye anajua aliyempelekea barua ni Nani, hivyo yeye ndiye mtuhumiwa wakwanza atakayesaidia polisi kwa jinai na kutaka kupoka madaraka ya kiongozi aliyepo madarakani kisheria. Acha kuwaza KITOPIAN
Haha, hawa ndio magenius wa huko bavicha.
 
Back
Top Bottom