KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Lakini si ndio hawa mtakaokutana nao uchaguzi mkuu, Erythro.; mta'survive' vipi na tayari mnaona kazi zao waziwazi hivi hata kabla ya wakati wenyewe?Aibu kubwa ni kwa mamlaka ya uteuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini si ndio hawa mtakaokutana nao uchaguzi mkuu, Erythro.; mta'survive' vipi na tayari mnaona kazi zao waziwazi hivi hata kabla ya wakati wenyewe?Aibu kubwa ni kwa mamlaka ya uteuzi
Jibu rahisi ni kwamba "jinai" haiwahusu waliopo kwenye madaraka.Nadhani chadema wambane Huyo mama watu waliompatia hyo barua, maana hyo Ni jinai pia...
Barua muwasilishe nyie wenyewe lawama apatiwe Mkurugenzi. Hivi kweli akili zenu zinafanya kazi sawasawa. Semeni ukweli kwamba Jacob mmemvua uanachama na baada ya kuombwa rushwa mmetengua mlichokiandika.Ni vema tukamfahamu mtu huyu ili achambuliwe kwa lengo la kujiridhisha kama kwa Elimu yake na afya yake ya akili inafaa kwa sisi kuendelea kumchambua .
vinginevyo tumwache na ikibidi tuendeleee kumuombea ili Mwenyezi Mungu amjaalie wepesi wa kutambua kwamba Cheo ni dhamana ya muda mfupi sana .
Shetani hana rafiki .
Ni vema tukamfahamu mtu huyu ili achambuliwe kwa lengo la kujiridhisha kama kwa Elimu yake na afya yake ya akili inafaa kwa sisi kuendelea kumchambua .
vinginevyo tumwache na ikibidi tuendeleee kumuombea ili Mwenyezi Mungu amjaalie wepesi wa kutambua kwamba Cheo ni dhamana ya muda mfupi sana .
Shetani hana rafiki .
kwamba MD hajui hatua za kufuata kujiridhisha. Meya sio mfagizi unaweza kumtoa kipuuzi tu. Huyo ndio boss wa ManispaaHuyo Malisa anajielewa kweli??
Yaani mtu ushitakiwe kwa kupokea barua?? Au ulazimishwe kumleta aliyekuandikia?? Hii ni aina gani ya kufikiri??
Mi kiongozi wa chama changu ana Phd ya dukani hata akiongea husikii dalili yeyote ya usomi zaidi ya usimamizi wa vibarua
Si unaona! Nafasi yake inachukuliwa na MTU anayesema serikali haina sababu ya kutangaza idadi ya vifo vya corona bali wanaopona tuu!
Kukichukia chama au mtu ni sawa na haki yako kabisa,lakini jaribu kutoonesha ujinga na ulimbukeni wakati wa kuonesha chuki zako!Chuki basi iendane na hoja na sio kujidhalilisha kwa kiwango hiki,shame!Kumbe mmeandika barua ili muandae namna ya kujipatia fedha za kuwasaidia kwenye Kampeni, shenzini kabisa nyie.
Aongee ata kikemia tu