"Kufukuzwa" kwa Meya Boniface Jacob: Utumishi wa umma umeingiliwa

Huyu mkurugenzi amekosa sifa ya kuwa mkurugenzi, kitendo cha kufanyia kazi barua bila kujiridhisha Ni aibu kubwa.
Ni kilaza Mkubwa anawaza chadema mda wote kuliko kumuwaza mme wake,ndie aliyetoa amri bendera za cdm zishushwe barabara ya Mlimani City

Ni kabila gani kwani
 
Kukichukia chama au mtu ni sawa na haki yako kabisa,lakini jaribu kutoonesha ujinga na ulimbukeni wakati wa kuonesha chuki zako!Chuki basi iendane na hoja na sio kujidhalilisha kwa kiwango hiki,shame!
Hujaeleweka
 
Huoni hata aibu kuandika huu utumbo?
Yule ni meya siyo balozi wa nyumba kumi.
Membe hakuwa na cheo chochote ndani ya CCM, lakini angalia ni kakao cha ngazi gani kilimfuta uanachama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe Jacob ni mtumishi wa umma sijui unawaza kwa kutumia nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Malisa anajielewa kweli??

Yaani mtu ushitakiwe kwa kupokea barua?? Au ulazimishwe kumleta aliyekuandikia?? Hii ni aina gani ya kufikiri??
Uwezo wako wakufikiri ni mdogo Sana!! Yeye ndiye anajua aliyempelekea barua ni Nani, hivyo yeye ndiye mtuhumiwa wakwanza atakayesaidia polisi kwa jinai na kutaka kupoka madaraka ya kiongozi aliyepo madarakani kisheria. Acha kuwaza KITOPIAN
 
Naomba siku moja unipe nafasi nikushauri jambo moja muhimu. Ieleweke kwamba ushauri ninaokupatia hauna faida kwangu kwani hadi sasa napigania kupata uraia wa nchi mojawapo Africa. Nimeona ulivyo na mapenzi makubwa ya mabadiliko ya demokrasia nchini Tanzania. Mie ni mfuasi wa Lowassa toka moyoni na alipokuwa CCM nilikiwa na Lowassa,alipojiunga CHADEMA nilikuwa na Lowassa na aliporudi CCM niko nae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku Lowassa akifa utakufa naye ?
 
Uwezo wako wakufikiri ni mdogo Sana!! Yeye ndiye anajua aliyempelekea barua ni Nani, hivyo yeye ndiye mtuhumiwa wakwanza atakayesaidia polisi kwa jinai na kutaka kupoka madaraka ya kiongozi aliyepo madarakani kisheria. Acha kuwaza KITOPIAN
Haha, hawa ndio magenius wa huko bavicha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…