Kufukuzwa kwa Miguel Gamondi : Natangaza waziwazi kurudisha kadi yangu ya Uwanachama wa Young Africans

Simba Ile ya 2020-2022 SI ndio Simba ya Mohammed Dewji!??
Uwezo gani ulikua unauzungumzia wewe!?
Kama wa kifedha Simba ilikua ina uwezo mkubwa wa kifedha wa kumsajili mchezaji anayetaka na kumuajiri kocha anayetaka.
Umeishia darasa la ngapi la 3b au la 5c?
 
Reactions: Tui
Umeishia darasa la ngapi la 3b au la 5c?
Hilo swali ulipaswa ujiulize wewe kwasababu mbili.
1)Kwanza umeuliza swali ambalo ni nje ya nilichoandika,nilieleza kuhusu Yanga ya Nabi ukauliza kuhusu Simba.
Unaonekana sio mtu wa kuzingatia content,umefaulu vipi darasani!?
2)Pili nimekuuliza uwezo upi unapozungumzia je wa kifedha au upi!?
Badala ujibu Kwa mtiririko unaotakiwa unaleta viroja.
Hili ndio zao la shule za saint kayumba.
 
Another wasted sperm..!!
 
Ingekuwa simba ndio imemtimua kocha kwa kipindi kifupi ivyo tena akiwa na rekodi nzuri,
Aisee wachaMbuzi wangeshindana kudemka makalio yao kuishambulia Simba mwanzo mwisho
Robertinho alifukuzwa akiwa kafungwa gemu moja na Yanga.
 
Leta CV ya Ramovi ulinganishe na Nabi acha kupiga kelele jibu hoja kwa hoja sio unabwabwaja tu msijifu kwamba utopolo inawapaisha makocha wenye uwezo mdogo shida ni kwamba huleti ulinganishi wa CV ya Nabi na Huyo Ramovic
 
Leta CV ya Ramovi ulinganishe na Nabi acha kupiga kelele jibu hoja kwa hoja sio unabwabwaja tu msijifu kwamba utopolo inawapaisha makocha wenye uwezo mdogo shida ni kwamba huleti ulinganishi wa CV ya Nabi na Huyo Ramovic
Aliyepiga kelele na kubwabwaja ni mimi au wewe!?
Nasrudin Nabi ana CV gani zaidi kubwa zaidi ya kuchukua Confederation Cup akiwa kama ASSISTANT COACH!?
Team gani alienda akiwa head coach na akapata mafanikio kama aliyopata Yanga!?
Yanga ilimchukua Nabi akiwa kafukuzwa sio kajihuzuru bali kafukuzwa kazi El merreikh,ndio Yanga ikamchukua katikati ya msimu kuelekea mwishoni wa 2020/2021.

Unakuja unaharisha tu hapa kwa mdomo pumbavu zako.
Kama Yanga angetizama CV muda ule je angemchukua Nabi!?
Nabi hakuwa na CV yeyote kubwa wakati ule.
 
Ndo akina Shanily hawa..!! Wapo wengi sana. Ila mwenyekiti wao alishasema, ni mbumbumbu

Nuts
 
Peleka upuuzi wako kiufupi mnaokota makocha wenye CV sisimizi budget ndogo mnaendeshwa kwa pressure
 
Peleka upuuzi wako kiufupi mnaokota makocha wenye CV sisimizi budget ndogo mnaendeshwa kwa pressure
Bado unabwabwaja kama fala!?
Umeshindwa hoja unabwabwaja!?
Nasrudin Nabi alikua ana CV gani kubwa kabla hajaja Yanga!?
Ngojea niku ignore maana naona nabishana na katoto Cha puberty stage.
Niondolee balehe zako hapa mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…