gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,187
- 2,794
Umeishia darasa la ngapi la 3b au la 5c?Simba Ile ya 2020-2022 SI ndio Simba ya Mohammed Dewji!??
Uwezo gani ulikua unauzungumzia wewe!?
Kama wa kifedha Simba ilikua ina uwezo mkubwa wa kifedha wa kumsajili mchezaji anayetaka na kumuajiri kocha anayetaka.