Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,168 Reaction score 39,118 Mar 2, 2020 #241 DiasporaUSA said: Nao watakatwa kama ikishindikana kuwa execute Click to expand... Hapo kwenye Ku - *execute* nimekuelewa zaidi. Sent using Jamii Forums mobile app
DiasporaUSA said: Nao watakatwa kama ikishindikana kuwa execute Click to expand... Hapo kwenye Ku - *execute* nimekuelewa zaidi. Sent using Jamii Forums mobile app
M Marwa_J_Merengo JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 4,512 Reaction score 6,882 Mar 2, 2020 #242 Bila bila said: Hapo kwenye Ku - *execute* nimekuelewa zaidi. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Umeelewaje mkuu kuwa watampyupyu au
Bila bila said: Hapo kwenye Ku - *execute* nimekuelewa zaidi. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Umeelewaje mkuu kuwa watampyupyu au
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,284 Reaction score 24,047 Mar 2, 2020 #243 Siasa za bongo nafasi flani za uongozi ni za mtuu maalum sasa akijitokeza mtu kutaka hiyo nafasi ni kung'olewa tu au kuitwa msaliti ,mkosa nidhamu, Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa za bongo nafasi flani za uongozi ni za mtuu maalum sasa akijitokeza mtu kutaka hiyo nafasi ni kung'olewa tu au kuitwa msaliti ,mkosa nidhamu, Sent using Jamii Forums mobile app
DiasporaUSA JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 23,382 Reaction score 29,639 Mar 2, 2020 #244 NAWATAFUNA said: Siasa za bongo nafasi flani za uongozi ni za mtuu maalum sasa akijitokeza mtu kutaka hiyo nafasi ni kung'olewa tu au kuitwa msaliti ,mkosa nidhamu, Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hiyo ndiyo greedy of power
NAWATAFUNA said: Siasa za bongo nafasi flani za uongozi ni za mtuu maalum sasa akijitokeza mtu kutaka hiyo nafasi ni kung'olewa tu au kuitwa msaliti ,mkosa nidhamu, Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hiyo ndiyo greedy of power
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 78,790 Reaction score 128,275 Mar 2, 2020 #245 Maigizo matupu. CCM na serikali wanatakiwa si tu kuruhusu mwebyekiti aweze kuwa challenged ndani ya chama, bali pia wanatakiwa kuruhusu wagombea binafsi. Sent using Jamii Forums mobile app
Maigizo matupu. CCM na serikali wanatakiwa si tu kuruhusu mwebyekiti aweze kuwa challenged ndani ya chama, bali pia wanatakiwa kuruhusu wagombea binafsi. Sent using Jamii Forums mobile app
Mayonene JF-Expert Member Joined Mar 16, 2016 Posts 1,595 Reaction score 1,419 Mar 2, 2020 #246 Kwani umemabiwa vikao vya CC vimeisha kwa mwaka huu au vile vyakamati ndogo vimeisha?
mrsleo JF-Expert Member Joined Jan 13, 2014 Posts 2,588 Reaction score 3,877 Mar 2, 2020 #247 hata kwa lowasa walikuwa wengie, waliishia wapi vile?