We ni "Ke au Me"Mbowe akiamua hakuna kamanda wa kupinga! CCM will continue fixing upinzani kwa miongo mingi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ni "Ke au Me"Mbowe akiamua hakuna kamanda wa kupinga! CCM will continue fixing upinzani kwa miongo mingi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tindo akitaka kuhania CDM, asome katiba ya chama asome Sera za chama akubaliane nazo, pia afundishwe itikadi ya chama kwanza alafu ndo akubaliwe kujiunga na chama,Ni kweli, Mbowe anaweza kuamua na hakuna kamanda wa kupinga ndani ya chama chake, lakini sisi mashabiki tulio wengi hatutamuunga mkono na tutashiriki humu mitandaoni kupinga wazi wazi iwapo uhuni huo wa kumpokea utafanyika. Na madhara ya sisi kupinga wazi wazi iwapo uhuni huo utafanyika yatakuwa wazi peupe.
Kwa mtazamo wangu tena mtazamo wa nje, Nyalandu amefanikiwa kukigeuza chama kwa muda mfupi sana. Chadema ya leo sio ile ya kutoa matamko kwa kila jambo. Hata lugha za baadhi viongozi tena wale fire brand zinaanza kubadilika.Binafsi Natamani Nyalandu agombee kupitia Chadema tatizo sio maarufu sana na tatizo lingine alitoka CCM sijui itakuwaje lakini ana mtaji pia anaweza ukija kwa Lissu matatizo aliyopata ni changamoto kwenye physical appearance,Zitto ni kete tatizo Chama chake hakiaminiki wakati Benard nje ya CCM si kitu japo Nasikia wana CCM kibao watajitokeza 2020 kuchukua form
Sent using Jamii Forums mobile app
Physical appearance siyo hoja.Kibaki ameapishwa akiwa on wheelchair.Binafsi Natamani Nyalandu agombee kupitia Chadema tatizo sio maarufu sana na tatizo lingine alitoka CCM sijui itakuwaje lakini ana mtaji pia anaweza ukija kwa Lissu matatizo aliyopata ni changamoto kwenye physical appearance,Zitto ni kete tatizo Chama chake hakiaminiki wakati Benard nje ya CCM si kitu japo Nasikia wana CCM kibao watajitokeza 2020 kuchukua form
Sent using Jamii Forums mobile app
Ideas sio lazima zitoke kwa kiongozi pekee. Nyalandu anaheshima kuliko wajumbe wa CC (money talks.)Nyalandu ni kiongozi ndani ya CDM hadi kufikia hatua ya kukibadilisha chama!?
Sent using Jamii Forums mobile app
HakunaKama hakuna afadhali ndio apewe potelea mbali?
Ni jibu la nani msafi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha, usimuone hivyo mkuu, jamaa ana ma connection makali na Chadema wameshakaa mkao wa kula.Aisee.. Kweli chadema sasa imeishiwa! Nyalandu huyuhuyu wa twiga?
Sent using Jamii Forums mobile app