Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Matukio mengi sana yanayofanywa na askari wa JWTZ wanaojichukulia sheria mkononi kwa kupiga raia na kuwasabibishai vifo na ulemavu kwa sababu za labda kuibiwa mali au kukosana na raia yanaporipotiwa polisi mara nyingi huwa hawachukuliwi sheria au hatua stahiki. Hii ni kwa sababu ya kulindwa na vyombo vya dola sababu wao ni wanajeshi.
Hii imesababisha matukio ya askari wa JWTZ kujichukulia sheria mkononi kuwa sugu, sasa wanaua raia mara kwa mara na mpaka inatia doa jeshi letu
Hii inatia doa taifa letu na jeshi letu.
Hii imesababisha matukio ya askari wa JWTZ kujichukulia sheria mkononi kuwa sugu, sasa wanaua raia mara kwa mara na mpaka inatia doa jeshi letu
Hii inatia doa taifa letu na jeshi letu.