Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Leo hujamtukana MBOWE, hebu mtukane kidogoMatukio mengi sana yanayofanywa na askali wa Jwtz wanaojichukulia sheria mkononi kwa kupiga raia na kuwasabibishai vifo na ulemavu kwa sababu za labda kuibiwa mali au kukosana na raia yanaporipotiwa polisi mara nyingi huwa hawachukuliwi sheria au hatua stahiki. Hii ni kwa sababu ya kulindwa na vyombo vya dola sababu wao ni wanajeshi.
Hii imesababisha matukio ya askari wa Jwtz kujichukulia sheria mkononi kuwa sugu, sasa wanaua raia mara kwa mara na mpaka inatia doa jeahi letu
Hii inatia doa taifa letu na jeshi letu.
Ukiona ametuliza mshono ujue ameshapokea buku 7 yake safi kabisa kutoka kwa ShakaLeo hujamtukana MBOWE, hebu mtukane kidogo
Swain mkubwaUkiona ametuliza mshono ujue ameshapokea buku 7 yake safi kabisa kutoka kwa Shaka
Tunaelekea pabaya sana.Badala watusaidie hata tusisikie tunafisadiwa wao wanapiga raia!..
Mi huwa nashangaa ati Kuna habari nchi inafisadiwa na wenyewe wapo wanalinda mipaka!!.. hivi unawezaje kulinda mipaka na wakati unavyovilinda vinafisadiwa..π
Na tutapokea kichapo mpk akili itukae sawa..π
Ccm baba yakoCCM huwa mnatumia jeshi la akiba kupiga wapinzani
Umepokea buku 7 kutoka kwa Shaka Hamidu Shaka.Ccm baba yako
Huna akili hata kiduchu.Umepokea buku 7 kutoka kwa Shaka Hamidu Shaka.
Salio lako jipya ni buku 7 na hamsini taslimu.
Mkuu hata wew una makosa, badala yakutumia platform hii kuleta mabadiliko chanya wewe unatumia kupata buku7, siyo sahihi piaHuna akili hata kiduchu.
Acha fikra za kijingaMkuu hata wew una makosa, badala yakutumia platform hii kuleta mabadiliko chanya wewe unatumia kupata buku7, siyo sahihi pia
Kivip mkuu?Acha fikra za kijinga
Leo hujamtukana MBOWE, hebu mtukane kidogoMatukio mengi sana yanayofanywa na askali wa Jwtz wanaojichukulia sheria mkononi kwa kupiga raia na kuwasabibishai vifo na ulemavu kwa sababu za labda kuibiwa mali au kukosana na raia yanaporipotiwa polisi mara nyingi huwa hawachukuliwi sheria au hatua stahiki. Hii ni kwa sababu ya kulindwa na vyombo vya dola sababu wao ni wanajeshi.
Hii imesababisha matukio ya askari wa Jwtz kujichukulia sheria mkononi kuwa sugu, sasa wanaua raia mara kwa mara na mpaka inatia doa jeahi letu
Hii inatia doa taifa letu na jeshi letu.
π³π³π³π³π³Swain mkubwa
Hizi habari yule mwanajeshi sijui mimi mwanajeshi zipo uko kwenu Tanzania sisi kule kwetu Somalia hamna hizo mambo.Matukio mengi sana yanayofanywa na askari wa JWTZ wanaojichukulia sheria mkononi kwa kupiga raia na kuwasabibishai vifo na ulemavu kwa sababu za labda kuibiwa mali au kukosana na raia yanaporipotiwa polisi mara nyingi huwa hawachukuliwi sheria au hatua stahiki. Hii ni kwa sababu ya kulindwa na vyombo vya dola sababu wao ni wanajeshi.
Hii imesababisha matukio ya askari wa JWTZ kujichukulia sheria mkononi kuwa sugu, sasa wanaua raia mara kwa mara na mpaka inatia doa jeshi letu
Hii inatia doa taifa letu na jeshi letu.