Kufundisha Watu Kura ya Ndiyo (Serikali), Hapana (Maaskofu,UKAWA) ni Sahihi?

Kufundisha Watu Kura ya Ndiyo (Serikali), Hapana (Maaskofu,UKAWA) ni Sahihi?

Kura ya Ndio ni muhimu kwa kila mwenye kuipenda nchi yetu tanzania kwa kuwa katiba inayopendekezwa tumeiandika wenyewe hivyo ni jukumu letu sote kukamilisha mchakato huu kwa kujiandikisha,kisha kupiga kura ya maoni wakati ukifika ili tupate kulijenga taifa letu na tuendelee mbele
 
unayejiita not_yet_uhuru, maneno meeengi hayana hata hulka ya kuwa na busara. Unaposema unapiga kura unategemea nini? Kura maana yake kuna pande mbili. Hata hili hulioni? Ubovu wa katiba inayopendekezwa umetoka wapi, kama kweli wewe ni mzalendo wa dhati soma kuanzia utangulizi wake uone kama wananchi hawahusiki. Sema ukweli na ukweli utakuweka huru “………..kwa kuwa, sisi wananchi wa jamhuri ya muungano wa tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii inayoheshimu na kuzingatia misingi ya utu na udugu, uhuru, kujitegemea, haki, usawa, amani na utulivu, umoja na mshikamano katika nyanja zote za maisha yetu” huo ni utangulizi tu, pata muda uisome vizuri ujionee na hatimaye muda ukifika usiwe kikwazo kwa wananchi.

sio bure utakuwa unatafuta ukuu wa wilaya kwa nguvu
 
sio bure utakuwa unatafuta ukuu wa wilaya kwa nguvu
Hivi ninyi hata nchi hii hamuijui. Ukuu wa wilaya unatafutwa kwa maneno au kwa hoja au kwa kufanyakazi kwa bidii. Hivi katika vyeo vyote au nafasi zote za uteuzi wa Rais umeona ukuu wa wilaya ndiyo nafasi muhimu sana ya watu kupigania!! Naona hata wewe hujitambui. Hebu nenda kaaka chini na utafakari usemi wako na baadaye uje uombe msamaha kwa kukurupuka kwako. :wink2::brushteeth:
 
Back
Top Bottom