Kufundisha Watu Kura ya Ndiyo (Serikali), Hapana (Maaskofu,UKAWA) ni Sahihi?

Kura ya Ndio ni muhimu kwa kila mwenye kuipenda nchi yetu tanzania kwa kuwa katiba inayopendekezwa tumeiandika wenyewe hivyo ni jukumu letu sote kukamilisha mchakato huu kwa kujiandikisha,kisha kupiga kura ya maoni wakati ukifika ili tupate kulijenga taifa letu na tuendelee mbele
 

sio bure utakuwa unatafuta ukuu wa wilaya kwa nguvu
 
sio bure utakuwa unatafuta ukuu wa wilaya kwa nguvu
Hivi ninyi hata nchi hii hamuijui. Ukuu wa wilaya unatafutwa kwa maneno au kwa hoja au kwa kufanyakazi kwa bidii. Hivi katika vyeo vyote au nafasi zote za uteuzi wa Rais umeona ukuu wa wilaya ndiyo nafasi muhimu sana ya watu kupigania!! Naona hata wewe hujitambui. Hebu nenda kaaka chini na utafakari usemi wako na baadaye uje uombe msamaha kwa kukurupuka kwako. :wink2::brushteeth:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…