Kufunga kanisa kisa mtu mmoja sio maamuzi sahihi. Na ni ukosefu wa haki ya kuabudu kwa waumini wengine

Kufunga kanisa kisa mtu mmoja sio maamuzi sahihi. Na ni ukosefu wa haki ya kuabudu kwa waumini wengine

Kufungia kanisa kwasababu mtu anapinga utekeji sio sawa ,kabisa wanatekwa ni walipa Kodi ,wazazi na Wana familia zinawategemea.
 
Nashauri serikali ifungue makanisa yote yaliyoanzishwa na watu binafsi


Makanisa yote ya manabii yafutwe,hawa wauza chumvi,maji na mafuta ni wafanyabiashara yafutwe
 
shehe ponda amegombana na serikali kwa mahubiri anayotolea msikitini ila hakuna msikiti uliwahi kufungiwa, ila kanisa likikemea utekaji wanalifungia,walitaka kanisa lisifu utekaji. binafsi naona huu ni uvamizi dhidi ya ukristo, hawataki wakristo wasali, labda wanataka waswali kitu ambacho hakitakuja kutokea.
 
Back
Top Bottom