Notorious_Marcc
JF-Expert Member
- Feb 16, 2024
- 2,598
- 6,147
Unahitaji kanisa ili upate hekima, au unahitaji hekima ili ujue umuhimu wa kanisa?”Swali gani?
Unahitaji kanisa ili upate hekima, au unahitaji hekima ili ujue umuhimu wa kanisa?”Swali gani?
Kwenye njaa hakuna uhuruSawa, watu hawali Demokrasia, lakini heri njaa yenye uhuru kuliko shibe ya kibakuli kilicho jaa udikteta.
Hekima is given haihitaji makanisa Wala shule uazaliwa nayo.Unahitaji kanisa ili upate hekima, au unahitaji hekima ili ujue umuhimu wa kanisa?”
Unaelewa lakini unacho kiandika au unaandika ili mradi umenijibu???Kwenye njaa hakuna uhuru
Unawezaje kumtambua mtu mwenye hekima??Hekima is given haihitaji makanisa Wala shule uazaliwa nayo.
Gwajiboy ana hekima?
Mama Abdul na serikali yake wanatenda kwanza afu wanashirikisha ubongo bdae.
Mwamba alisema mpiga makombora mpaka mtekaji atoke,, mtekaji katoka shimoni
Wewe jinga kuna wahuni zaidi ya Watekaji? Punguza ujingaSio mtu mmja Bali ni Kiongozi wa hilo mnaloliita kanisa.
Mhuni mmja anatumia hiyo platform kuleta taharuki Nchini.
Rwanda Huwa hawacheki na Hawa wapuuzi na vijikanisa vyao vya kuibia pesa wajinga.
Utekaji haukubaliki.......hili ndio kosa lakeSio mtu mmja Bali ni Kiongozi wa hilo mnaloliita kanisa.
Mhuni mmja anatumia hiyo platform kuleta taharuki Nchini.
Rwanda Huwa hawacheki na Hawa wapuuzi na vijikanisa vyao vya kuibia pesa wajinga.
Naunga mkono hoja ,inagwa halijafungiwa bado.Mambo yanazidi kuchemka!
Huwezi ng'oa meno yote kisa jino Moja linauma.
Huwezi kufunga msikiti kisa sheikhe amefanya uhalifu.
Huwezi kufunga Kanisa kisa mchungaji mmoja amelumbana na serikali.
Kama kweli yatafanyika maamuzi ya kufunga Kanisa la Gwajima, hautakuwa uamuzi wa akili na hiyo sio suluhu kwani itachochea na kubadili uelekeo wa ugomvi.
Kwa sasa makanisa mengine yataangalia hoja za kufungiwa Kanisa la Gwajima zinamashiko au laa.
Kama hazina zitajenga kitu kingine ambacho hakitakuwa kizuri.
Gwajima hoja yake ni kupinga Utekaji na mauaji. Hiya ndio hoja kuu ya Gwajima. Ambapo serikali ilipaswa iwe upande wake. Sasa uje kufungia Kanisa kisa mtu kapinga utekaji na mauaji kwa kweli hiyo italeta shida.
Ni akheri taarifa hiyo ibaki kuwa fake lakini isiwe kweli.
Pili, kufunga Kanisa la Gwajima ni kuwakosesha waumini wanaosali na kuamini katika kanisa Hilo haki ya kuabudu. Ni kutengeneza ugomvi usio na sababu na watu.
Hii pia itatoa taarifa kwa wale waamini wa miungu iwe ni Allah, Yesu, Yehova yakuwa hata wao hawapo salama.
Ugomvi huu unahitaji umakini. Kwa sababu unahusisha imani za watu ambao kimsingi MTU anaweza kuwa tayari kufa kwaajili ya Mungu wake.
Hii kesi ilikuwa imeshaisha, kwani Gwajima yeye alisharusha kete yake kimakusudi ili iliwe. Jambo ambalo serikali ingepuuza kupunguza tension.
Huku Lisu kwa kesi hiyohiyo.
Kule Kitima kapigwa,
Hapa, sheikhe kauawa!
Leo kanisa lafungiwa.
Hata kwa sisi watunzi wa riwaya, na filamu, hatuwezi kutengeneza action movie au action story kwa kiwango hicho.
Ukishatoka kwenye taharuki unaipoza filamu kidogo kupunguza tension.
Lakini bandika bandua sio nzuri kwani huweza kuleta ujasiri wa liwalo na liwe.
Hata Marekani anapodili na adui zake hawezi kuwapiga bandika bandua. Kwani kwa kufanya hivyo inaweza kuwapa adui zake muunganiko wa haraka, na ujasiri wa liwalo na liwe.
Ni kweli kwa sasa watanzania wengi sasa wanajua watekaji ni kina Nani. Kutokana na mazingira.
Kwa sasa tunajua msimamo wa serikali kuhusu utekaji na Yale yanayoendelea nchini.
Mungu awe sehemu yetu.
Barikiweni
Vipi wale watekaji na wauaji hawavurugi amani?Hapo hakuna kanisa Kuna mtu mmja janja janja anatumia hiyo fursa kusukuma ajenda zake za Kisiasa.
Ukicheka na Hawa wanaweza leta dhahama ya kuvuruga amani.
Wewe ni miongoni mwa wale wenye itikadi kali.Mifano hiyo ndio naitaka Mimi,Samia anawachekea..
Nchi hii haihitaji stori za Demokrasia,porojo nyingi na sijui imani za miujiza Hadi hapo maendeleo yakipatikana
Haki ni neno Pana sanaHapana Mkuu
Mimi naangalia Haki ilipo
Lakini pia naangalia Usalama wa nchi.
So hapo ni mambo mawili
Mngetengwa mgeweza kusimama?Dunia ilkua kwenye mabadiliko!periodAlilazimisha Ili apate ugali kutoka Kwa Mabeberu 😭😭
Hatimaye Leo Tanzania imeshuhudia akili za mwanamke zikifikiria mpaka mwisho.... nadhani huyu mazA ndo atakua rais wa mwisho mwanamke