Kufunga kanisa kisa mtu mmoja sio maamuzi sahihi. Na ni ukosefu wa haki ya kuabudu kwa waumini wengine

Mambo yanazidi kuchemka!

Huwezi ng'oa meno yote kisa jino Moja linauma.

Huwezi kufunga msikiti kisa sheikhe amefanya uhalifu.

Huwezi kufunga Kanisa kisa mchungaji mmoja amelumbana na serikali.

Kama kweli yatafanyika maamuzi ya kufunga Kanisa la Gwajima, hautakuwa uamuzi wa akili na hiyo sio suluhu kwani itachochea na kubadili uelekeo wa ugomvi.

Kwa sasa makanisa mengine yataangalia hoja za kufungiwa Kanisa la Gwajima zinamashiko au laa.
Kama hazina zitajenga kitu kingine ambacho hakitakuwa kizuri.

Gwajima hoja yake ni kupinga Utekaji na mauaji. Hiya ndio hoja kuu ya Gwajima. Ambapo serikali ilipaswa iwe upande wake. Sasa uje kufungia Kanisa kisa mtu kapinga utekaji na mauaji kwa kweli hiyo italeta shida.

Ni akheri taarifa hiyo ibaki kuwa fake lakini isiwe kweli.

Pili, kufunga Kanisa la Gwajima ni kuwakosesha waumini wanaosali na kuamini katika kanisa Hilo haki ya kuabudu. Ni kutengeneza ugomvi usio na sababu na watu.

Hii pia itatoa taarifa kwa wale waamini wa miungu iwe ni Allah, Yesu, Yehova yakuwa hata wao hawapo salama.

Ugomvi huu unahitaji umakini. Kwa sababu unahusisha imani za watu ambao kimsingi MTU anaweza kuwa tayari kufa kwaajili ya Mungu wake.

Hii kesi ilikuwa imeshaisha, kwani Gwajima yeye alisharusha kete yake kimakusudi ili iliwe. Jambo ambalo serikali ingepuuza kupunguza tension.

Huku Lisu kwa kesi hiyohiyo.

Kule Kitima kapigwa,

Hapa, sheikhe kauawa!

Leo kanisa lafungiwa.

Hata kwa sisi watunzi wa riwaya, na filamu, hatuwezi kutengeneza action movie au action story kwa kiwango hicho.

Ukishatoka kwenye taharuki unaipoza filamu kidogo kupunguza tension.

Lakini bandika bandua sio nzuri kwani huweza kuleta ujasiri wa liwalo na liwe.

Hata Marekani anapodili na adui zake hawezi kuwapiga bandika bandua. Kwani kwa kufanya hivyo inaweza kuwapa adui zake muunganiko wa haraka, na ujasiri wa liwalo na liwe.

Ni kweli kwa sasa watanzania wengi sasa wanajua watekaji ni kina Nani. Kutokana na mazingira.
Kwa sasa tunajua msimamo wa serikali kuhusu utekaji na Yale yanayoendelea nchini.

Mungu awe sehemu yetu.
Barikiweni
Serikali hii imeshapoteza mwelekeo. Mimi nilipoona wanateka na kuua watu wa kawaida kabisa wasio na impact yoyote kwa siasa za Tanzania kama yule aliyechoma picha ya Samia nilijua mstari umeshavukwa!. Kanuni moja ya maisha ni kuwa serikali ikishaingia kwenye mtego wa kuua mtu mmoja ili kunyamazisha upinzani, basi inakuwa imefungua mlango wa maanguko. Huu ni mwanzo tu, kwani mambo yatazidi kuwa mabaya.
 
Huyu ni tapeli wa kidini.
Na hii ndio platform anayotumia

Huyu ni tapeli wa kisiasa
Wamfukuze uanachama wa C.C
Ili aondolewe ubunge

Huyu ni tapeli wa fursa
Nafasi yake kwa Sasa kwenye uongozi imekuwa finyu mno na anakumbukumbu na Sukuma gang
 
Wabadili Mbinu.
Damu haifukiwi na mchanga. Ngoma itaenda hivihivi cheche mpaka ziwe Moto
 
Huyu ni tapeli wa kidini.
Na hii ndio platform anayotumia

Huyu ni tapeli wa kisiasa
Wamfukuze uanachama wa C.C
Ili aondolewe ubunge

Huyu ni tapeli wa fursa
Nafasi yake kwa Sasa kwenye uongozi imekuwa finyu mno na anakumbukumbu na Sukuma gang

😃😃

Sawa ni tapeli lakini kuongeza tension isiyo na ulazima ndio njia sahihi?

Viongozi watulize munkari,
 
Mambo yanazidi kuchemka!

Huwezi ng'oa meno yote kisa jino Moja linauma.

Huwezi kufunga msikiti kisa sheikhe amefanya uhalifu.

Huwezi kufunga Kanisa kisa mchungaji mmoja amelumbana na serikali.

Kama kweli yatafanyika maamuzi ya kufunga Kanisa la Gwajima, hautakuwa uamuzi wa akili na hiyo sio suluhu kwani itachochea na kubadili uelekeo wa ugomvi.

Kwa sasa makanisa mengine yataangalia hoja za kufungiwa Kanisa la Gwajima zinamashiko au laa.
Kama hazina zitajenga kitu kingine ambacho hakitakuwa kizuri.

Gwajima hoja yake ni kupinga Utekaji na mauaji. Hiya ndio hoja kuu ya Gwajima. Ambapo serikali ilipaswa iwe upande wake. Sasa uje kufungia Kanisa kisa mtu kapinga utekaji na mauaji kwa kweli hiyo italeta shida.

Ni akheri taarifa hiyo ibaki kuwa fake lakini isiwe kweli.

Pili, kufunga Kanisa la Gwajima ni kuwakosesha waumini wanaosali na kuamini katika kanisa Hilo haki ya kuabudu. Ni kutengeneza ugomvi usio na sababu na watu.

Hii pia itatoa taarifa kwa wale waamini wa miungu iwe ni Allah, Yesu, Yehova yakuwa hata wao hawapo salama.

Ugomvi huu unahitaji umakini. Kwa sababu unahusisha imani za watu ambao kimsingi MTU anaweza kuwa tayari kufa kwaajili ya Mungu wake.

Hii kesi ilikuwa imeshaisha, kwani Gwajima yeye alisharusha kete yake kimakusudi ili iliwe. Jambo ambalo serikali ingepuuza kupunguza tension.

Huku Lisu kwa kesi hiyohiyo.

Kule Kitima kapigwa,

Hapa, sheikhe kauawa!

Leo kanisa lafungiwa.

Hata kwa sisi watunzi wa riwaya, na filamu, hatuwezi kutengeneza action movie au action story kwa kiwango hicho.

Ukishatoka kwenye taharuki unaipoza filamu kidogo kupunguza tension.

Lakini bandika bandua sio nzuri kwani huweza kuleta ujasiri wa liwalo na liwe.

Hata Marekani anapodili na adui zake hawezi kuwapiga bandika bandua. Kwani kwa kufanya hivyo inaweza kuwapa adui zake muunganiko wa haraka, na ujasiri wa liwalo na liwe.

Ni kweli kwa sasa watanzania wengi sasa wanajua watekaji ni kina Nani. Kutokana na mazingira.
Kwa sasa tunajua msimamo wa serikali kuhusu utekaji na Yale yanayoendelea nchini.

Mungu awe sehemu yetu.
Barikiweni
Ndio maana tunaona aibu hata kukutana na majirani zetu,kwa uhovyo wetu.
 
Sio mtu mmja Bali ni Kiongozi wa hilo mnaloliita kanisa.

Mhuni mmja anatumia hiyo platform kuleta taharuki Nchini.

Rwanda Huwa hawacheki na Hawa wapuuzi na vijikanisa vyao vya kuibia pesa wajinga.
Huko Rwanda waliko, hawacheki na wapuuzi ndiyo , lakini pia hawana muda wa kuandika dhihaka mitandaoni kama wewe. Hivyo, kabla hujaita wengine wajinga, jiulizeje, unahitaji kanisa ili upate hekima, au unahitaji hekima ili ujue umuhimu wa kanisa?”

Huko Rwanda waliko, hawacheki na wapuuzi, lakini pia hawana muda wa kuandika dhihaka mitandaoni kama wewe. Hivyo, kabla hujaita wengine wajinga, jiulize, je, unahitaji kanisa ili upate hekima, au unahitaji hekima ili ujue umuhimu wa kanisa?
 
Mambo yanazidi kuchemka!

Huwezi ng'oa meno yote kisa jino Moja linauma.

Huwezi kufunga msikiti kisa sheikhe amefanya uhalifu.

Huwezi kufunga Kanisa kisa mchungaji mmoja amelumbana na serikali.

Kama kweli yatafanyika maamuzi ya kufunga Kanisa la Gwajima, hautakuwa uamuzi wa akili na hiyo sio suluhu kwani itachochea na kubadili uelekeo wa ugomvi.

Kwa sasa makanisa mengine yataangalia hoja za kufungiwa Kanisa la Gwajima zinamashiko au laa.
Kama hazina zitajenga kitu kingine ambacho hakitakuwa kizuri.

Gwajima hoja yake ni kupinga Utekaji na mauaji. Hiya ndio hoja kuu ya Gwajima. Ambapo serikali ilipaswa iwe upande wake. Sasa uje kufungia Kanisa kisa mtu kapinga utekaji na mauaji kwa kweli hiyo italeta shida.

Ni akheri taarifa hiyo ibaki kuwa fake lakini isiwe kweli.

Pili, kufunga Kanisa la Gwajima ni kuwakosesha waumini wanaosali na kuamini katika kanisa Hilo haki ya kuabudu. Ni kutengeneza ugomvi usio na sababu na watu.

Hii pia itatoa taarifa kwa wale waamini wa miungu iwe ni Allah, Yesu, Yehova yakuwa hata wao hawapo salama.

Ugomvi huu unahitaji umakini. Kwa sababu unahusisha imani za watu ambao kimsingi MTU anaweza kuwa tayari kufa kwaajili ya Mungu wake.

Hii kesi ilikuwa imeshaisha, kwani Gwajima yeye alisharusha kete yake kimakusudi ili iliwe. Jambo ambalo serikali ingepuuza kupunguza tension.

Huku Lisu kwa kesi hiyohiyo.

Kule Kitima kapigwa,

Hapa, sheikhe kauawa!

Leo kanisa lafungiwa.

Hata kwa sisi watunzi wa riwaya, na filamu, hatuwezi kutengeneza action movie au action story kwa kiwango hicho.

Ukishatoka kwenye taharuki unaipoza filamu kidogo kupunguza tension.

Lakini bandika bandua sio nzuri kwani huweza kuleta ujasiri wa liwalo na liwe.

Hata Marekani anapodili na adui zake hawezi kuwapiga bandika bandua. Kwani kwa kufanya hivyo inaweza kuwapa adui zake muunganiko wa haraka, na ujasiri wa liwalo na liwe.

Ni kweli kwa sasa watanzania wengi sasa wanajua watekaji ni kina Nani. Kutokana na mazingira.
Kwa sasa tunajua msimamo wa serikali kuhusu utekaji na Yale yanayoendelea nchini.

Mungu awe sehemu yetu.
Barikiweni
Sina Cha kuongeza, ushauri mwanana kabisa huu!
 
Huko Rwanda waliko, hawacheki na wapuuzi ndiyo , lakini pia hawana muda wa kuandika dhihaka mitandaoni kama wewe. Hivyo, kabla hujaita wengine wajinga, jiulizeje, unahitaji kanisa ili upate hekima, au unahitaji hekima ili ujue umuhimu wa kanisa?”

Huko Rwanda waliko, hawacheki na wapuuzi, lakini pia hawana muda wa kuandika dhihaka mitandaoni kama wewe. Hivyo, kabla hujaita wengine wajinga, jiulize, je, unahitaji kanisa ili upate hekima, au unahitaji hekima ili ujue umuhimu wa kanisa?
Hapo hakuna kanisa Kuna mtu mmja janja janja anatumia hiyo fursa kusukuma ajenda zake za Kisiasa.

Ukicheka na Hawa wanaweza leta dhahama ya kuvuruga amani.
 
Back
Top Bottom