Kufunga kanisa kisa mtu mmoja sio maamuzi sahihi. Na ni ukosefu wa haki ya kuabudu kwa waumini wengine

Kufunga kanisa kisa mtu mmoja sio maamuzi sahihi. Na ni ukosefu wa haki ya kuabudu kwa waumini wengine

Anzeni kwenye katiba SASA.
Unajua sio haki kumuadhibu mtu kwa kitu ambacho kimeruhusiwa kisheria.

Au kwako haki haina maana yoyote?😂😂
Kwenye ilani tunatarajia kuwa na Demokrasia ya ndani ya chama Ili nidhamu ije sio kama Sasa Kuna utitiri wa Vyama vya Mabeberu Ili kutuvurugia Ili mradi kila mtu apanuenmdomo bila kujali matokeo.
 
Ngwajima kasema wanaofanya hayo ni watekaji
 
😃😃

Sawa ni tapeli lakini kuongeza tension isiyo na ulazima ndio njia sahihi?

Viongozi watulize munkari,
Wewe ndio strategist wa regime hii
Ni mfano tu mkuu

Una charismatic leader kama Tundu Antipas Lisdu anayeongoza kambi ya upinzani na kukukosesha amani huku akidemand No reform, No election
Dunia nzima imepeleka macho kwake.

Halafu anaibuka kizab zabina Gwaji, kwa nini usimtumie kuspin lile jambo la kwanza, upepo utahama.

Hivyo huyu atapelekewa moto, Ili kuzima makali ya yule wa kwanza kwa muda

Hivyo hii season na tupo episode ya pili tu
 
Hapana Mkuu
Mimi naangalia Haki ilipo
Lakini pia naangalia Usalama wa nchi.
So hapo ni mambo mawili
 
Back
Top Bottom