Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Wamefunga Facebook, Youtube na Twitter wameshafunga. Kitakachofuata ni Instagram na zingine. Ni MUHIMU WATANZANIA WAJIFUNZE KUTUMIA VPN kila mmoja awe na vpn ili tusikose information. Watafunga nchi halafu tutakuwa kama tupo kisiwani na watatufanya chochote wanachotaka bila sisi kufahamu.
Imagine, mitandao inafungwa kwa maslahi ya mtu mmoja tu kwamba ndiye anapiganiwa ashinde uchaguzi. yaani, maslahi ya kuchika kiti mtu mmoja tunaumizwa kwa kufungiwa mitandao yote ili tu yeye ashinde, yeye ana thamani gani kuliko watanzania wote?
Imani gani Mbwa nyieSisi Kama serikali Ni Bora kupeteza hela kuliko Imani tuliyepewa.
Fullstop
Shit hole counties wanawaiga Russia na China kuzima upinzani. Tatizo la kuongozwa na wajinga.Wafanyiabiasha wengi tunategemea Facebook, X, Telegram .
Then Serikali iliyokosa maono na akili inafungia hiyo mitandao
Watu wengi walipata changamoto wakati ule slowslow yupo liveAcheni uongo wazee, X kwangu inafanya kazi na huko kote
View attachment 3409840
Hata huo muda bado kwangu palikuwa sawaWatu wengi walipata changamoto wakati ule slowslow yupo live
wamefanya mambo ya kipumbavu sana ,unafungia mitandao na kuwanyima watanzania zaidi ya milioni 20 huduma kisa mtu mmoja polepole? It's Utter Non sense.Wafanyiabiasha wengi tunategemea Facebook, X, Telegram .
Then Serikali iliyokosa maono na akili inafungia hiyo mitandao
Ukikata mkuuHata huo muda bado kwangu palikuwa sawa