Mimi ninauza Magari 90% ya my clients wapo Facebook.Na nyinyi itosheni media mlalamike
huoni kwamba ni wajinga mmekosa maono mpaka mnakimbilia kufunga mitandao bila kufikiria athari zake kiuchumi? Mnadhani kila mtu anafuatilia ujinga wenu wa kisiasa?Sisi Kama serikali Ni Bora kupeteza hela kuliko Imani tuliyepewa.
Fullstop
Wataenda kukopa deni bado himilivu 😂😂😂😂😂😂😂.Wafanyiabiasha wengi tunategemea Facebook, X, Telegram .
Then Serikali iliyokosa maono na akili inafungia hiyo mitandao
Ushindi gani broo?mitandao inafungwa kwa maslahi ya mtu mmoja tu kwamba ndiye anapiganiwa ashinde uchaguzi
Kwenye maisha haya hadi umri niliofikia nilichojifunza kuhusu serikali yangu ya Tanzania ni kuwa mimi mwananchi ndio natakiwa niitii serikali na serikali haiamrishwi na mbuzi yeyote serikali ni lipapa likubwa alfu sisi wananchi ni vidagaa ikiamua leo nameza mia basi inameza ikiamua leo nacheua dagaa nao wapate chakula basi inafanya hivyo..Wafanyiabiasha wengi tunategemea Facebook, X, Telegram .
Then Serikali iliyokosa maono na akili inafungia hiyo mitandao.
JamiiForums ni mali ya CCM na TCRAAngekuja kufanyia jamii Forum humu maana tumeyapata yote, au na huku wangefunga
Walikua wanamzuia kujamba hivi wewe ukitaka kujamba una jambo lako unataka utoe kijambo kuna mtu anaweza kukuzuia usijambe kweli?serikali iliyokosa kibali mpaka machoni mwa mashetani unafungiaje mitandao kisa kuna kajamaa kanawaambia ukweli, stupid kabisa hiyo nchi.
SawaKwenye maisha haya hadinumri niliofikia nilichojifunza kuhusu serikali yangu ya Tanzania ni kuwa mimi mwananchi ndio natakiwa nitii serijali na serikali haiamrishwi na mbuzi yeyote serikali ni lipapa likubwa alfu sisi wananchi ni vidagaa ikiamua leo nameza mia basi inameza ikiamua leo nacheua dagaa nao wapate chakula basi inafanya hivyo..
Jana tu wametoka kuzindua Dira ya Taifa yenye maneno mengi mazuri ya kuhusu kuongeza access kwenye teknolojia na uongo mwingi kama huo.Wafanyiabiasha wengi tunategemea Facebook, X, Telegram .
Then Serikali iliyokosa maono na akili inafungia hiyo mitandao.
Inasikitisha , MkuuJana tu wametoka kuzindua Dira ya Taifa yenye maneno mengi mazuri ya kuhusu kuongeza access kwenye teknolojia na uongo mwingi kama huo.
Ndiyo maana akiamua upotezwe leo unapotezwa. This is a mafia state!Wamefunga Facebook, Youtube na Twitter wameshafunga. Kitakachofuata ni Instagram na zingine. Ni MUHIMU WATANZANIA WAJIFUNZE KUTUMIA VPN kila mmoja awe na vpn ili tusikose information. Watafunga nchi halafu tutakuwa kama tupo kisiwani na watatufanya chochote wanachotaka bila sisi kufahamu.
Imagine, mitandao inafungwa kwa maslahi ya mtu mmoja tu kwamba ndiye anapiganiwa ashinde uchaguzi. yaani, maslahi ya kuchika kiti mtu mmoja tunaumizwa kwa kufungiwa mitandao yote ili tu yeye ashinde, yeye ana thamani gani kuliko watanzania wote?
Kwa mijitu isiojali, wanaweza kufunga hata mpaka uchaguzi utakapopita..Watafunga kwa siku ngapi?
Jana tu wametoka kuzindua Dira ya Taifa yenye maneno mengi mazuri ya kuhusu kuongeza access kwenye teknolojia na uongo mwingi kama huo.