Kufunga 'PM' ni ishara ya kuwa mchoyo na mbinafsi

🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo nimekubaka!!
 
Ngoja tu wafunge, wanatusaidia sana, wangefunga wote huenda tungeokoka kwa mengi 😁😁

PM kuwa wazi ni temptation kwa Me walio wengi, ila ukijaribu na kuona PM ina kufuli ni "kuvuja kwa pakacha..."!
Babe😳😳😳😳😳
 
Hapana kuna watu Wanakuja inbobo na mavitu ya ajabu ajabu that is why tunafunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…