Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Vijitu vya aina hii vipo kila mahala vinakera sana. Unaanzaje kumtukana mtu yaan unaanza tu? Kama si ugonjwa wa akili ni kitu gani? Ujinga ujinga tu.Punguza hasira, pata kahawa kidogo utakaa sawa
Sent using Jamii Forums mobile app