Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Waambie wenzako wapunguze makasiriko, hasa ambao wanasema waliofunga pm ni malaya!!!Kuna mengine ya chumbani, hayaongelewi kwenye kuku wengi
Yaani hasira za watu kuwafungia pm, wanatukana, utakuaje malaya na umefunga pm? Wako sawa kichwani?
Ukiona mtu kafunga pm, jua ana wake mmoja anayempenda sana. Hatufungui 🔒