Kufunga 'PM' ni ishara ya kuwa mchoyo na mbinafsi

Kufunga 'PM' ni ishara ya kuwa mchoyo na mbinafsi

angenipa sababu za msingi ningemfungulia ila naona anaruka ruka tu kama maharagwe jikon
Labda anataka afungue kitasa cha mlango 😀😀😀, si unajua hivi vitasa vya union huwa vinasumbua sana?
 
1.Kila mtu ana haki ya kufunga PM. Ndiyo maana ikaitwa PM. The P in PM means Private.

2. Privacy ni haki ya kikatiba.

3.Kufunga PM si uchoyo. Mtu mwingine anaweza kufunga PM kwa kukuhurumia wewe.

4. Hata uchoyo nao ni haki ya mtu. Mtu ana haki ya kuwa mchoyo kwa kitu chake.

5. Wewe nawe una mailbox yako. Ifanye unachotaka. Acha kutamani ku control mailboxes za wenzako.
Nigga you always stand out, you don't give a shit about fitting in, and thats the best thing about you.
 
Back
Top Bottom