Vijitu vya aina hii vipo kila mahala vinakera sana. Unaanzaje kumtukana mtu yaan unaanza tu? Kama si ugonjwa wa akili ni kitu gani? Ujinga ujinga tu.Punguza hasira, pata kahawa kidogo utakaa sawa
usireply mambo yasiwe mengi....Vijitu vya aina hii vipo kila mahala vinakera sana. Unaanzaje kumtukana mtu yaan unaanza tu? Kama si ugonjwa wa akili ni kitu gani? Ujinga ujinga tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mahusiano yanavuruga watu; we pata kinywaji ukikwama nijulisheVijitu vya aina hii vipo kila mahala vinakera sana. Unaanzaje kumtukana mtu yaan unaanza tu? Kama si ugonjwa wa akili ni kitu gani? Ujinga ujinga tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nishamuignore wacha akatukanane na hewa huko.usireply mambo yasiwe mengi....
[emoji23][emoji23] nafata ushauri wako, natafuta kahawa.Mahusiano yanavuruga watu; we pata kinywaji ukikwama nijulishe
Sitaki upate shida, kama kuna tatizo lolote nigongee mlango tuweke mambo sawa
Pole sana,njoo pm nikuliwaze.Vijitu vya aina hii vipo kila mahala vinakera sana. Unaanzaje kumtukana mtu yaan unaanza tu? Kama si ugonjwa wa akili ni kitu gani? Ujinga ujinga tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani uwoga na kutokujiamini inaweza kuwa sababuWanaofunga PM ni waoga tu.Kwani ni lazima kujibu PM?
Sawa rafiki.Sitaki upate shida, kama kuna tatizo lolote nigongee mlango tuweke mambo sawa
Kwa nini?Hata zikiwa wazi hazina msaada wowote
Kwa nini?