Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Unakuta mtu kaongea kitu jukwaani chenye mashiko na chenye maana unataka ujue zaidi unaenda kwa PM yake unakuta kufuliHii ni kweli mkuu kuna mda una jambo la kumfata mtu private ila unakuta bonge la lock