Kufunga 'PM' ni ishara ya kuwa mchoyo na mbinafsi

Naomba ni fungulie mimi kwa leo tutete kidog
hapana ndg yangu. naheshimu request yako, ila siwezi kwenda opposite na utaratibu wangu.PM yangu itaendelea kuwa locked kwa kipindi kisichokuwa na ukomo maalum.

wakati fulani niliwahi kuombwa nifungue PM na member mmoja maarufu wa jinsia ya kike, msimamo wangu ulibaki huohuo mpaka leo.
 
Tumefanana tabia mkuu ila kutokana na tabia ya wengi kutongoza tunawekwa kundi moja
Ndio maana hawa dada zetu wanalalamika sana imeonekana kama tabia za wanaume wa jf ni kuwatongozatongoza huko PM.

Huwa nacheka sana wengine wanapigana vibuti huko PM mpaka wanakuja kupigana vijembe huku jukwaani 🤣🤣🤣
 
hapana ndg yangu. naheshimu request yako, ila siwezi kwenda opposite na utaratibu wangu.PM yangu itaendelea kuwa locked kwa kipindi kisichokuwa na ukomo maalum.

wakati fulani niliwahi kuombwa nifungue PM na member mmoja maarufu wa jinsia ya kike, msimamo wangu ulibaki huohuo mpaka leo.

[emoji849]oh oh oh oh oh
 
Ndio maana hawa dada zetu wanalalamika sana imeonekana kama tabia za wanaume wa jf ni kuwatongozatongoza huko PM.

Huwa nacheka sana wengine wanapigana vibuti huko PM mpaka wanakuja kupigana vijembe huku jukwaani 🤣🤣🤣
Huo sasa ni ujinga mambo ya chumbani kuyaweka hadharani
 
Back
Top Bottom