Kufunga PM ni uoga na kutokujiamini.

Ndo hako hako kapumbavu. Eti nina miaka 23 nimekua nakutamani sana mavi mavi sijui nimetumia ID mpya.
Wanaona watu wako cheap kiasi hichi sijui.
Me alinitumia eti let's make a deal, kalivyo kajinga eti kanadanganya kako na miaka 23
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ye ndio alisababisha me nikajifungia zangu PM
 
Ni haki yao ya kikatiba.
 
Una dhambi sana wewe. Hadi gari ikawa nzito ikabidi aigawe tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Fanya mpango tukale hali yangu mbaya
Nilikua nampa dozi sio kwa kuwaone wahidi wa watu kulee ... meifataa iko hapa roundabout. Natoka next 3hrs vumilia... tuna kimbia? ,..
 
Me alinitumia eti let's make a deal, kalivyo kajinga eti kanadanganya kako na miaka 23
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ye ndio alisababisha me nikajifungia zangu PM
Unakajua? Hata kwangu kalikuja, kalinifanya ninyong'onyee yaani nilijiuliza maswali mengi yasiyo na majibu kumbe kanaingia kwa kila mtu?
 
Unakajua? Hata kwangu kalikuja, kalinifanya ninyong'onyee yaani nilijiuliza maswali mengi yasiyo na majibu kumbe kanaingia kwa kila mtu?
Nakajua dada, basi kataaila kama ndio zake kutembelea kila PM ya mdada na mtongozo wa rangi moja, kanashusha bonge ya text πŸ˜‚ na li I'd lake jipya.
Hakana convincing power kabisa, hakajui kudanganya, kapo kapo tu kama kopo la chooni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸšΆ
 
Weee hebu niambie hata kwa code
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…