Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahaha , 'eti kukwepa kusumbuliwa'Nina wasiwasi wapo mademu wamefunga PM sasa imewaudhi wengi sana. Hata hivyo wengine sio kwamba wanasumbuliwa au nini wanaamua tu kufunga PM ili nao waonekane wanafunga eti kukwepa kusumbuliwa,