Kufunga PM ni uoga na kutokujiamini.

Kufunga PM ni uoga na kutokujiamini.

Nina wasiwasi wapo mademu wamefunga PM sasa imewaudhi wengi sana. Hata hivyo wengine sio kwamba wanasumbuliwa au nini wanaamua tu kufunga PM ili nao waonekane wanafunga eti kukwepa kusumbuliwa,
Hahahaha , 'eti kukwepa kusumbuliwa'
 
Back
Top Bottom