Kufunga PM ni uoga na kutokujiamini.

Kufunga PM ni uoga na kutokujiamini.

Napafahamu kabisa si unaona siku hizi sikulaumu tena, wala sikuongopei tena kishamba, ni love-to-love.
Mi niko poa kabisa ila niko uku milimani kuna kaubaridi hivi, wishing ungekuwepo kwa karibu hapa...
Utu uzima dawa dear
Uko milima ya wapi eti nikuje can't wait [emoji39][emoji39]
 
Sawa
Be positive, sio wanawake ndio wanashida ya ndoa hata wanaume pia tuna shida ya ndoa ndio mana love connect tupo mchanganyiko, vile vile kuna wengine wanafanya joking na wengine wapo serious ilo lipo wazi linaeleweka.
 
Huwenda kwa wengine wenye tabia ya kufuatilia wanawake humu ila sijaona haja ya mtu kufanya hivyo kama anaamini ana uwezo wa kujisimamia.

Mwanzoni niliwahi kupokea PM kadhaa na ninazisoma na kufuta kwa sababu sioni haja ya kureply.

Suala la mademu kufunga PM zao na wao waonekane wanakwepa usumbufu wa kutumiwa meseji sijui kama ni kweli japo kila mmoja ana sababu zake za kufunga.
Huoni hapo kwenye kusoma na kufuta bila kureply ni kujipa kazi zisizo za msingi?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hilo ni swali au jibu fungua bwana mm hata sijibugi watu mtu akinitext salaam nitamjibu nikiona anaendelea simjibu hata atajua mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa mamie
 
Nipo Dada nmejaa tele.

Kila nikiingia Alfajiri naona umepost usiku nkajua haupo Tanzania basi. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kwa nguvu dada ukiona hivyo ujue nipo lindo nimeingia night shift
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kwa nguvu dada ukiona hivyo ujue nipo lindo nimeingia night shift
Hahahahaaa. Hapo sawa Dada ake.

Yabidi na sisi tufunge PM Dada. 😜😜😜😜
 
Back
Top Bottom