Kufunga PM ni uoga na kutokujiamini.

Kufunga PM ni uoga na kutokujiamini.

Hivi ninyi mnachukuliaga serious zile threads zote zinazoanzishwa za wanawake kutafuta waume?? Basi ndiyo maana mnajidanganya kwamba wanawake wote wana shida sana na ndoa kazi ipo!!
Be positive, sio wanawake ndio wanashida ya ndoa hata wanaume pia tuna shida ya ndoa ndio mana love connect tupo mchanganyiko, vile vile kuna wengine wanafanya joking na wengine wapo serious ilo lipo wazi linaeleweka.
 
Mchochezi ni anayefunga PM muda wote, ulitangaza kuhitaji mume huku PM ikiwa imefungwa mabaharia walilalamika ukakomaa wengine walilalamika kimya kimya. Fungua pm
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] Ngoja nifungue kwa Muda wa wiki moja
 
Back
Top Bottom