Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Basi PoleKuhonga ni sawa na kutoa tu kama kumsaidia mtu au kumpa kwa ajili ya mahitaji yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi PoleKuhonga ni sawa na kutoa tu kama kumsaidia mtu au kumpa kwa ajili ya mahitaji yake
Ekamaaaaaa kweli unaijua hela kupitiliza
Ndio ndioShunie wewe, kumbe PM yako iko kimkakati zaidi.
Be positive, sio wanawake ndio wanashida ya ndoa hata wanaume pia tuna shida ya ndoa ndio mana love connect tupo mchanganyiko, vile vile kuna wengine wanafanya joking na wengine wapo serious ilo lipo wazi linaeleweka.Hivi ninyi mnachukuliaga serious zile threads zote zinazoanzishwa za wanawake kutafuta waume?? Basi ndiyo maana mnajidanganya kwamba wanawake wote wana shida sana na ndoa kazi ipo!!
Kwani wewe hujafunga?
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] Ngoja nifungue kwa Muda wa wiki mojaMchochezi ni anayefunga PM muda wote, ulitangaza kuhitaji mume huku PM ikiwa imefungwa mabaharia walilalamika ukakomaa wengine walilalamika kimya kimya. Fungua pm
Kwahiyo na mimi nifungue????Naanzaje kufunga
Sijambo mkuu,Hujambo
Sio wiki iache kabisa huyo uliyempata mliwasilianaje[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] Ngoja nifungue kwa Muda wa wiki moja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hee mwanamke kumhonga pesa mwanaume ni laana wewe
Tulikutana hukooooo mtaaniSio wiki iache kabisa huyo uliyempata mliwasilianaje
🤣 😀Tulikutana hukooooo mtaani
Unanicheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] 😀
Fungua PM nikwambie kituUnanicheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaah unaona sasaFungua PM nikwambie kitu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hilo ni swali au jibu fungua bwana mm hata sijibugi watu mtu akinitext salaam nitamjibu nikiona anaendelea simjibu hata atajua mwenyeweKwahiyo na mimi nifungue????
Mbona na mimi nmewekaMbona na wewe unawapangia waloweka profile picture, so what?
Good morning bulubendi.
Si ndio hapo sasa!!Ebu shangaa auntie nani anataka kupishana na gari la mshahara