Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Toroka hapo twende tukale![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
. tuombeanee![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toroka hapo twende tukale![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
. tuombeanee![]()
Me alinitumia eti let's make a deal, kalivyo kajinga eti kanadanganya kako na miaka 23
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ye ndio alisababisha me nikajifungia zangu PM
hukuona nlivyokua na mnyweshaa ile wine
,.. Vivi anasema achaa bwanaa![]()
Ni haki yao ya kikatiba.Habarini wana JF.
Poleni na majukumu makubwa ya kujenga taifa, nina suala nataka niwasilishe kwenu japo ni suala la mtu binafsi.
Neno langu siyo sheria hivyo sina maana kwamba nataka watu wabadili faragha zao lah! Nataka kuwasilisha kulingana na maono yangu.
Baadhi yetu tumepiga kufuli kwenye akaunti zetu humu ndani kila mmoja akiwa na sababu zake za msingi na anazojua yeye mwenyewe kwanini afanye hivyo. Ila nikiwa nimetulia nimewaza na kuona huu ni uoga na kutokujiamini kwa mtu. PM unaweza kupokea taarifa kutoka kwa mtu na siyo lazima ujibu ila anaweza kusoma alichoandikiwa.
Sasa baada ya kutafakari kwa kina nimeona sina haja ya kufanya hivyo kwani nina option mbili (kujibu au kutokujibu).
Neno langu siyo sheria.
Nilikua nampa dozi sio kwa kuwaone wahidi wa watu kuleeUna dhambi sana wewe. Hadi gari ikawa nzito ikabidi aigawe tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Fanya mpango tukale hali yangu mbaya
Sijakutenga bana! Ila naogopa ndio Swahiba mana siku hizi watu wanachomoleana sana betri humu ujue. 😂😂😂Swahiba si kwa kunitenga huko au ndio unaogopa mambo ya PM?
Vumilia kidogoo tuu charge simu kwanzaa.Toroka hapo twende tukale
Hakajui hata kuandaa mazingira ya kumdanganya mtu, kanakurupuka na bonge ya essayNdo hako hako kapumbavu. Eti nina miaka 23 nimekua nakutamani sana mavi mavi sijui nimetumia ID mpya.
Wanaona watu wako cheap kiasi hichi sijui.
Nilikua nampa dozi sio kwa kuwaone wahidi wa watu kulee![]()
![]()
![]()
... meifataa iko hapa roundabout. Natoka next 3hrs vumilia... tuna kimbia? ,..![]()
Hakajui hata kuandaa mazingira ya kumdanganya mtu, kanakurupuka na bonge ya essay
Yeap tunakimbia sema mpaka nishibe nina njaa kama nimetoka Somalia
RafikiKama kataahira. Sikukajibu nikasema nikikajibu haka kataleta maelezo mengi acha nikachunie
Ila muamala unajibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hilo ni swali au jibu fungua bwana mm hata sijibugi watu mtu akinitext salaam nitamjibu nikiona anaendelea simjibu hata atajua mwenyewe
Unakajua? Hata kwangu kalikuja, kalinifanya ninyong'onyee yaani nilijiuliza maswali mengi yasiyo na majibu kumbe kanaingia kwa kila mtu?Me alinitumia eti let's make a deal, kalivyo kajinga eti kanadanganya kako na miaka 23
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ye ndio alisababisha me nikajifungia zangu PM
Sijibu najibuji huna no yangu utajua mwenyewe na huyo wa juiceIla muamala unajibu
Kunammoja alikua anaumwa nikampa juice hata asante hajatoa asaivi nimefunga yangu
Nakajua dada, basi kataaila kama ndio zake kutembelea kila PM ya mdada na mtongozo wa rangi moja, kanashusha bonge ya text 😂 na li I'd lake jipya.Unakajua? Hata kwangu kalikuja, kalinifanya ninyong'onyee yaani nilijiuliza maswali mengi yasiyo na majibu kumbe kanaingia kwa kila mtu?
Weee hebu niambie hata kwa codeNakajua dada, basi kataaila kama ndio zake kutembelea kila PM ya mdada na mtongozo wa rangi moja, kanashusha bonge ya text [emoji23] na li I'd lake jipya.
Hakana convincing power kabisa, hakajui kudanganya, kapo kapo tu kama kopo la chooni [emoji23][emoji23][emoji124]
Sehem ya pili hujanisoma vyema lakiniSijibu najibuji huna no yangu utajua mwenyewe na huyo wa juice
Me alinitumia eti let's make a deal, kalivyo kajinga eti kanadanganya kako na miaka 23
😂😂😂
Ye ndio alisababisha me nikajifungia zangu PM
Nitakupaaa😂😂Weee hebu niambie hata kwa code